Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yondani amjengea baba yake nyumba ya kifahari

Kelvin Yondani. Na Khadija Mngwai
IMEBAINIKA kuwa, Beki wa Yanga, Kelvin Yondani, amemhamisha mji baba yake mzazi mzee Patrick Yondani kutoka Mwanza na kuhamia Dar es Salaam.
Yondani amekuwa na mafanikio makubwa katika kuichezea Yanga kutokana na umahiri wake ambapo amekuwa akiisaidia kutokana na kuwa beki bora. Kikizungumza na Championi Jumatatu, chanzo cha kuaminika kutoka Mwanza kinachokaa karibu na mzee huyo, kimeeleza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius kuuza nyumba yake ya kifahari

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorious atauza nyumba yake ili aweze kumudu gharama ya kesi ya mauaji inayomkabili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baba hajazikwa, watoto wanagombea kuuza nyumba yake!

SINA hakika kama watu wote duniani wana kawaida ya kurithi mali za wazazi wao pindi wanapofariki, lakini nina uhakika utamaduni huu upo kwa sehemu kubwa sana katika jamii zetu sisi...

 

11 years ago

GPL

Baba Yondani awavaa Yanga

Beki kisiki wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani. Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
UPEPO mbaya ambao unaendelea ndani ya Yanga, ambayo makao makuu yake ni Jangwani jijini Dar es Salaam,  hasa juu ya wachezaji wa timu hiyo ambao sasa umefika mpaka kwa wazazi wa wachezaji wa…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Idris Sultan anunua nyumba hii ya kifahari!

Ule usemi kuwa hakuna ‘baba/mama mwenye gari’ mjini bali kuna ‘baba/mama mwenye nyumba’, huenda ukawa umemuingia mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan. Idris akiwa kwenye nyumba yake Kupitia Instagram, Idris ameonesha nyumba inayoonekana kuwa ameinunua au kukopeshwa na kumshukuru mtu aitwaye Ghalib Said Mohammed “I have seen thousands of people through my life time, got […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika  kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.

Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...

 

9 years ago

Michuzi

MWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM, MAZISHI YAKE KUFANYIKA MBEYA LEO

 Marehemu Mzee Anyosisye Mwakyusa enzi za uhai wake. Mwili ukiondolewa kanisani.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

Mshindi wa Jaymillions na mafanikio yake: Ajenga nyumba ya kisasa na kuishi na familia yake goba, kufungua biashara

Mmoja ya washindi wa kitita cha shilingi Milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions iliyokuwa inaendeshwa na Vodacom Tanzania iliyomalizika mwezi Aprili mwaka huu Irene Mrema, amesema tangu aibuke na ushindi amepata mafanikio makubwa mojawapo ikiwa ni kuweza kujenga nyumba ya kuishi na familia yake maeneo ya Goba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. “Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunikwamua kimaisha kupitia Jaymillion ya Vodacom kwa kuwa imeleta mafanikio makubwa katika maisha yangu na...

 

10 years ago

GPL

RAY C, BABA MWENYE NYUMBA WAKE KIMEUKA

Stori:Waandishi wetu/Ijumaa
Inadaiwa kuwa kimenuka kati ya msanii Rehema Chalamila ‘Ray C’ na baba mwenye nyumba wake, Hussein Kassim baada ya mdada huyo kudaiwa kugoma kutoa vyombo vyake kwenye mgahawa aliopangishwa na mkataba kuisha. Msanii Rehema Chalamila ‘Ray C’. Ray C aliyekuwa akitoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wafanyakazi wa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar kupitia mgahawa wake...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini umuombee baba yako afe ili urithi nyumba?

Katika moja ya makala zangu za siku za nyuma kupitia kona hii hii, niliwahi kudokeza machache juu ya wanafamilia fulani ambao waliamua kurushiana masumbwi wakigombea mali za kurithi kutoka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani