Pistorius kuuza nyumba yake ya kifahari
Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorious atauza nyumba yake ili aweze kumudu gharama ya kesi ya mauaji inayomkabili.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLYondani amjengea baba yake nyumba ya kifahari
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Selena Gomez atangaza kuuza nyumba yake
LAS VEGAS, MAREKANI
MPENZI wa zamani wa msanii wa Pop, Justin Beiber, Selena Gomez, ametangaza kuuza nyumba yake yenye ukubwa wa mita za mraba 7,700.
Mrembo huyo ameitumia nyumba hiyo kwa mwaka mmoja na nusu, lakini kwa sasa ametangaza kuiuza kwa kitita cha dola milioni 3.7.
Selena alisema sababu za kutangaza kuuza nyumba hiyo ni kwamba mwakani hatokuwa na muda wa kukaa kwenye nyumba hiyo kutokana na ratiba yake kumbana na mizunguko ya kibiashara.
“Ninahisi ninafanya maamuzi sahihi ya kuuza...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Baba hajazikwa, watoto wanagombea kuuza nyumba yake!
SINA hakika kama watu wote duniani wana kawaida ya kurithi mali za wazazi wao pindi wanapofariki, lakini nina uhakika utamaduni huu upo kwa sehemu kubwa sana katika jamii zetu sisi...
9 years ago
Bongo Movies21 Nov
Shilole Atoboa Sababu ya Kuuza Nyumba Yake Aliyokua Anajenga Kimara
Msanii Shilole aliwai kuingia kwenye headlines baada ya ku-post kwenye instagram picha ya nyumba yake ambayo alikua bado anaijenga. Caption ya picha hiyo ilikua inasomeka hivi, “Mungu nisaidie nimalize hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu”.
Eneo ambalo alilokua anajenga nyumba hiyo ni Kimara jijini Dar es Salaam lakini Shilole amesema kwamba ameuza nyumba hiyo ambayo ilikua bado haijaisha vizuri.
Akiongea na millardayo.com Shilole ametoa sababu za kuuza nyumba hiyo kama hivi,...
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Facts Production kuuza filamu zake nyumba kwa nyumba
NA HERIETH FAUSTINE
KAMPUNI ya Facts Production inatarajia kuanza kusambaza filamu yake mpya ya ‘Niliyemchagua’ kwa mfumo wa nyumba kwa nyumba.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mohammed Kazi ‘Mudy Kazi’ alisema ameamua kufanya hivyo ili kutoa nafasi ya wasiopata muda wa kwenda kununua CD za filamu hiyo katika maduka makubwa waweze kununua wakiwa nyumbani kwao.
“Lakini pia tumeona ni vizuri kwa kuwa itasaidia kuwatambulisha wasanii wetu chipukizi ambao wana uwezo mkubwa kuliko wasanii wenye majina...
10 years ago
Bongo523 Jan
Picha: Idris Sultan anunua nyumba hii ya kifahari!
9 years ago
VijimamboAUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
NHC kuuza nyumba 214 Kigamboni
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limetangaza rasmi kuanza kuuza nyumba 214, zinazojengwa eneo la Mwongozo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi wa Uendelezaji...
11 years ago
GPLTANGAZO LA KUUZA NYUMBA ZA MFUKO WA PSPF