Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA KUUZA NYUMBA ZA MFUKO WA PSPF

Mfuko wa Pensheni wa PSPF unapenda kuutaarifu Umma kuwa umezindua Mpango Mpya wa uuzaji nyumba zake zilizojengwa kwa ajili ya makazi katika mikoa ya Dar es Salaam- Ilala (Buyuni), Morogoro (Lukobe), Tabora (Usule), Mtwara (Mang’amba), Shinyanga (Ibadakuli) na Iringa (Mawelewele). Bei za nyumba ni kati ya sh. 52,000,000.00 hadi sh. 71,000,000.00 (bila VAT). Bei hizi ni kulingana na ukubwa wa nyumba na mkoa nyumba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL WAZINDUA MFUKO MPYA

 WAZIRI wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, (anayeshughulikia masuala ya Muungano), Samia sSuluhu Hassan,(wapili kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (wakwanza kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Property International Ltd, (PIL), Abdulkarim Haleem, (watatu kulia), na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, Gabriel Silayo, (wane...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL LIMITED WAZINDUA MPANGO WA KUWAKOPESHA VIWANJA WANACHAMA WA MFUKO HUO

 WAZIRI wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, (anayeshughulikia masuala ya Muungano), Samia sSuluhu Hassan,(wapili kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (wakwanza kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Property International Ltd, (PIL), Abdulkarim Haleem, (watatu kulia), na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, Gabriel Silayo, (wane kulia), wakiwa wamekamata mwamvuli ikiwa ni ishara ya umoja, kwenye...

 

9 years ago

Mtanzania

Facts Production kuuza filamu zake nyumba kwa nyumba

NiliyemchaguaNA HERIETH FAUSTINE

KAMPUNI ya Facts Production inatarajia kuanza kusambaza filamu yake mpya ya ‘Niliyemchagua’ kwa mfumo wa nyumba kwa nyumba.

Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mohammed Kazi ‘Mudy Kazi’ alisema ameamua kufanya hivyo ili kutoa nafasi ya wasiopata muda wa kwenda kununua CD za filamu hiyo katika maduka makubwa waweze kununua wakiwa nyumbani kwao.

“Lakini pia tumeona ni vizuri kwa kuwa itasaidia kuwatambulisha wasanii wetu chipukizi ambao wana uwezo mkubwa kuliko wasanii wenye majina...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI KUTOKA CLOUDS MEDIA GROUP WALIPATA FURSA YA KUTEMBEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI YA PSPF NA KUJIONEA WENYEWE UBORA WA HUDUMA NA BIDHAA ZA MFUKO

Mkurugenzi wa Ukaguzi wa ndani wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Godfrey Ngonyani (kushoto) akimkabidhi zawadi mtarishaji wa kipindi maarufu cha Power Breakfast Bw. Phillip Mwihava baada ya kumalizika kwa semina ambayo PSPF iliandaa maalum kwa watendaji kutoka Clouds Media. Lengo la semina hiyo ni kuwaelimisha kwanini PSPF inaendelea kuwa chaguo la kwanza kwa waajiriwa wapya hapa nchini. Anayeshuhudia Bibi. Neema Muro, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF. Afisa uhusiano Mwandamizi wa...

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA

  Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza…

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA WADAU PSPF

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA WADAU  Mfuko wa Pensheni wa  PSPF unatangaza kwamba kutakuwa na Mkutano Mkuu wa tatu wa wadau utakaofanyika tarehe 26 na 27  Februari 2014 kuanzia saa mbili na nusu asubuhi hadi saa kumi jioni katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere uliopo barabara ya Shaban Robert  jijini Dar es salaam.
Madhumuni ya Mkutano huu ni kutoa taarifa ya hesabu ya mwaka na utendaji wa Mfuko na kutathmini mafanikio na...

 

10 years ago

GPL

TANGAZO LA KAZI KUUZA DUKA LA VIFAA VYA UJENZI NA UMEME

Anatafutwa kijana wa kuuza duka la vifaa vya ujenzi na umeme KITUO CHA KAZI: Dar es Salaam ELIMU: Kidato cha IV na kuendelea UZOEFU: Mwaka mmoja Kwa maelezo zaidi jinsi ya kuomba nafasi hii piga namba hii ===> 0713 468 393

 

10 years ago

Habarileo

‘Mfuko wa PSPF upo imara’

LICHA ya kuidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 170, imeelezwa kuwa Mfuko wa Pensheni wa PSPF uko imara kifedha na kwamba hauwezi kutetereka.

 

11 years ago

Mwananchi

Mfuko wa PSPF wajizatiti kuongeza wanachama wapya

Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unatarajia kupata wanachama wapya 400,000 nchi nzima ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani