Tambwe amlilia Ngassa

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Wilbert Molandi,Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe, amemwambia kocha wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm kuwa, anataka kucheza na Mrisho Ngassa.Ngassa alianza na Tambwe kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya BDF na Mrundi huyo akafanikiwa kupachika mabao mawili. Mrundi huyo, akiwa anaichezea Simba, aliwahi kutamka kuwa anatamani siku moja kucheza na viungo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 May
JK amlilia Mwandishi Maximilian
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kufuatia kifo cha Mpigapicha wa Kituo cha Televisheni cha Mlimani, Maximilian John kilichotokea alfajiri ya Mei 24, mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi01 Oct
Mwambusi amlilia Nyoso
11 years ago
Tanzania Daima02 Nov
JK amlilia Jenerali Mfuse
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange, kufuatia kifo cha Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa...
11 years ago
GPL
MAINDA AMLILIA SHERRY MAGARI
11 years ago
Habarileo06 Mar
JK amlilia Shekhe wa Mkoa wa Iringa
RAIS Jakaya Kikwete, amemtumia Salamu za Rambirambi Mufti wa Tanzania, Sheikh Shaaban Bin Simba, kutokana na msiba wa Shekhe wa Mkoa wa Iringa, Alhaj Shekhe Ally Juma Tagalile (96). Shekhe Tagalile alifariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu.
10 years ago
StarTV26 Sep
Rais Kikwete Amlilia Kombani
Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kufuatia Kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani aliyefariki Dunia Septemba 24, mwaka huu katika Hospitali ya Apollo Nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Kongosho.
Rais kikwete katika ujumbe wake amesema, Kombani alikuwa Mama mchapakazi, hodari na aliyependa ushirikiano na kuwapa pole Wananchi wa Ulanga pamoja na wafanyakazi wa...
10 years ago
Habarileo13 Sep
Rais Kikwete amlilia Mngodo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, kutokana na kifo cha mtangazaji wa habari mkongwe, Godfrey Mngodo aliyefariki dunia Dar es Salaam jana.
11 years ago
Dewji Blog27 May
Dkt.Mukangara amlilia Maximilian
Waziri wa Habari Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (pichani) amewatumia salamu za rambirambi waandishi wa habari kufuatia kifo cha Mpiga picha wa kituo cha television cha Mlimani, Ndugu Maximilian John kilichotokea alfajiri ya kuamkia Jumamosi wiki iliyopita.
Dkt. Mukangara amesema amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Bwana Maximilian kilichotokana na maradhi ya Moyo, Sukari na Shinikizo la damu na ameongeza kuwa kifo hicho ni pigo na pengo kubwa kwa tasnia ya habari hapa...
10 years ago
GPL
DEMU AMLILIA ZITTO UKUMBINI