Mwambusi amlilia Nyoso
Siku moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kumlima rungu la miaka miwili nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso kutokana na kitendo cha utomvu wa nidhamu, kocha wa timu hiyo Juma Mwambusi amesema hana la kusema kufuatia adhabu aliyopewa mchezaji wake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi30 Sep
NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILI
![](http://tff.or.tz/images/gs.png)
9 years ago
TheCitizen29 Sep
Nyoso faces wrath for ‘misconduct’
10 years ago
TheCitizen06 Dec
Coastal’s defender Nyoso joins City
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Nyoso amtibua mdhamini Mbeya City
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MMOJA ya wadhamini wa timu ya Mbeya City, Nassor Binslum, amelaani vikali udhalilishaji aliofanya beki wa timu hiyo, Juma Nyoso, kwa nahodha wa Azam FC, John Bocco.
Udhalilishaji huo wa Nyoso umemfanya kufungiwa kutoshiriki soka kwa miaka miwili pamoja na kulipa faini ya Sh 2,000,000.
Binslum anayeidhamini Mbeya City kupitia moja ya bidhaa zake za RB Battery, amesema juzi kuwa yeye binafsi na Kampuni yao ya Binslum Tyres Co Limited wanaunga mkono adhabu...
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Mbeya City kumkatia rufaa Nyoso
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yaDToKVoFb4/VNSrgKe_dgI/AAAAAAAHCMM/v5Cbxu4E5vI/s72-c/MORRIS1.jpg)
KAMATI YA NIDHAMU TFF YAWAADHIBU JUMA NYOSO NA AGGREY MORRIS
![](http://1.bp.blogspot.com/-yaDToKVoFb4/VNSrgKe_dgI/AAAAAAAHCMM/v5Cbxu4E5vI/s1600/MORRIS1.jpg)
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia kati ya mechi tatu na nane wachezaji Juma Nyoso wa Mbeya City na Aggrey Morris wa Azam kutokana na makosa ya kinidhamu waliyoyafanya wakiwa uwanjani.
Nyoso ambaye alilalamikiwa na TFF kwa kumfanyia vitendo vya udhalilishaji mshambuliaji Elias Maguri wa Simba amefungiwa mechi nane za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL). Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia Ibara ya 57 na Ibara ya 11 (f) ya Kanuni za Nidhamu za TFF Toleo la...
9 years ago
TheCitizen01 Oct
Mbeya City form 3-member team to review Nyoso ban
9 years ago
Bongo530 Sep
TFF yamfungia Juma Nyoso kucheza soka kwa miaka miwili
9 years ago
Bongo528 Sep
TFF kumchukulia hatua mchezaji ‘anayewapiga dole’ wenzie uwanjani, Juma Nyoso