Dkt.Mukangara amlilia Maximilian
Waziri wa Habari Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (pichani) amewatumia salamu za rambirambi waandishi wa habari kufuatia kifo cha Mpiga picha wa kituo cha television cha Mlimani, Ndugu Maximilian John kilichotokea alfajiri ya kuamkia Jumamosi wiki iliyopita.
Dkt. Mukangara amesema amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Bwana Maximilian kilichotokana na maradhi ya Moyo, Sukari na Shinikizo la damu na ameongeza kuwa kifo hicho ni pigo na pengo kubwa kwa tasnia ya habari hapa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 May
JK amlilia Mwandishi Maximilian
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kufuatia kifo cha Mpigapicha wa Kituo cha Televisheni cha Mlimani, Maximilian John kilichotokea alfajiri ya Mei 24, mwaka huu.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Vqpbaa1erU0/Vf7WbPVTRrI/AAAAAAAH6Vg/xJ0FvaloqdE/s72-c/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara Mukangara achanja mbuga
![](http://1.bp.blogspot.com/-Vqpbaa1erU0/Vf7WbPVTRrI/AAAAAAAH6Vg/xJ0FvaloqdE/s640/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GYHWCn7n0G8/Vf7WavXd4nI/AAAAAAAH6VY/ZZ43ipJG7b4/s640/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Dkt. Fenella Mukangara aahidi kuijenga Kimbamba mpya
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt. Fenella Mukangara katika mikutano ya kampeni.
Wananchi wakimsikiliza Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la kibamba Dkt. Fenella Mukangara.
Na Jimmy Kagaruki, Kibamba
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara amesema atalifanya jimbo hilo kuwa la kisasa kwa muda wa miaka mitano ijayo.
Dkt. Fenella ameyasema hayo kwenye mkutano wa kampeni za ubunge jimbo la Kibamba kwenye kata ya Saranga.
Akihutubia...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ByMFMcPfJhw/U1pEy-hU_UI/AAAAAAAFc-o/8wrKJ8zwmok/s72-c/unnamed+(38).jpg)
Dkt. FENNELLA MUKANGARA AKUTANA NA RAIS WA INTERNATIONAL YOUTH FOUNDATION
![](http://1.bp.blogspot.com/-ByMFMcPfJhw/U1pEy-hU_UI/AAAAAAAFc-o/8wrKJ8zwmok/s1600/unnamed+(38).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-CP2VQjJVOr4/U1pEiI6hXSI/AAAAAAAFc-g/4um0aSKi2iI/s1600/unnamed+(37).jpg)
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Dkt Fenella Mukangara ahaidi kujenga zahanati kwa wakazi wa Kwembe
Katibu wa siasa na uenezi wa chama cha mapinduzi mkoa wa Dar es salaam Bw Juma Simba Gaddafi akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi Dkt Fenella Mukangara(kulia) na mgombea udiwani kwa tiketi chama hicho pia Bw Abeid jumanne kikoti(kushoto) wakati wa kampeni jana kwembe Dar es Salaam.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Fenella Mukangara akiongea na wakazi wa kata ya Kwembe wakati alipokuwa akinadi sera za chama chake.Dkt Fenella aliwaahidi wakazi...
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
Dkt. Fenela Mukangara kupambana na kero ya maji katika jimbo la Kibamba
Na Jimmy Kagaruki, Dar
Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Dkt. Fenela Mukangara (pichani) amesema atashirikiana na wananchi wa jimbo la Kibamba kupambana na kero ya maji kwenye jimbo hilo.
Akizungumza na Nuru FM Mukangara amesema licha ya mikakati ya serikali ya kupambana na kero ya maji kwa wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam na jimbo la Kibamba kwa ujumla bado kuna upungufu wa maji kwa wakazi hao.
Ametaja sababu za upungufu huo wa maji kuwa ni pamoja na baadhi ya wananchi...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3IWCI33roVM/VgOZh09RqiI/AAAAAAAC_h8/qPsbWG-DAgc/s72-c/IMG_0052.jpg)
DKT FENELA MUKANGARA AAHIDI KUWAINUA KIUCHUMI WANANCHI WA KIBAMBA KUPITIA SACCOS
![](http://4.bp.blogspot.com/-3IWCI33roVM/VgOZh09RqiI/AAAAAAAC_h8/qPsbWG-DAgc/s640/IMG_0052.jpg)
akiahidi kuwainua kiuchumi wananchi wa kibamba kupitia SACCOS yao jijini Dar es Salaa jana.
![](http://3.bp.blogspot.com/-prZ25pohlUo/VgObeG6e6sI/AAAAAAAC_iM/UqAFNmqNkr8/s640/IMG_0059.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9KDhEYwjuE8/VgUJF5skOJI/AAAAAAAH7Gg/usYXAz9p9eg/s72-c/IMG_1284%2B%2528800x446%2529.jpg)
DKT FENELLA MUKANGARA AKUTANA NA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI NA KUNADI SERA ZAKE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-9KDhEYwjuE8/VgUJF5skOJI/AAAAAAAH7Gg/usYXAz9p9eg/s640/IMG_1284%2B%2528800x446%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lwn7GV-MH6A/VgUJFxKZSnI/AAAAAAAH7Gk/20jPMq3hLT0/s640/IMG_1394%2B%2528600x334%2529.jpg)