DEMU AMLILIA ZITTO UKUMBINI

Stori: Waandishi Wetu/Risasi Mchanganyiko HISIA! Mrembo mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, ameshindwa kuzuia hisia zake na kuamua kumlilia hadharani Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe. Tukio hilo lilitokea katika ‘viwanja’ vya Escape One, Jumamosi iliyopita katika maadhimisho ya miaka kumi ya Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT). Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ZITTO AMWAGA MACHOZI UKUMBINI
11 years ago
GPL
LULU AWEHUKA UKUMBINI
10 years ago
GPL
RAY AANGUA UKUMBINI!
10 years ago
GPL
LULU AMHENYESHA MBOTO UKUMBINI
11 years ago
GPL
LULU AOGESHWA POMBE UKUMBINI
11 years ago
GPL
WOLPER APIGA MWEREKA UKUMBINI
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Taarabu ya ukumbini yakemewa Rwanda
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Diamond aangua kilio ukumbini!
Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia.
Musa mateja
SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda, twende na Ijumaa Wikienda.
Tukio hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa Burudani’ Dar Live jijini Dar ambapo nyota huyo alikuwa...
11 years ago
GPL
AUNT: NILIONANA NA NYALANDU UKUMBINI