Taarabu ya ukumbini yakemewa Rwanda
Viongozi wa kidini wanasema akina mama wa kiislam wanakiuka sheria za dini kwa kucheza muziki wa taarabu kwa mbwembwe na mitindo isiyofaa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM25 Jun
Diamond Platnumz aivamia Taarabu...
Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwasasa anayo heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana na muziki wake pamoja na kuingia kwenye tuzo za MTV MAMA na BET leo alikuwa kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds Fm ameuongelea muziki wa Taarabu ambao pia anaweza kuuimba na alishawai kuomba na nafasi Jahazi Morden Taarab ya kuimba kabla hajawa
Diamond Platnumz....
Hii ni video clip inayomuonesha akiimba muziki wa taarabu....
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Shaa: Natamani kuimba taarabu
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Sara Kaisi ‘Shaa’ au ‘Malkia wa Uswazi’ amesema alitamani kuimba taarabu kabla ya kusambaza kazi yake ya ‘Sugua gaga’ ambayo inafanya vizuri katika...
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Muumin ageuzia karata Taarabu
UKIZUNGUMZIA muziki wa dansi nchini huwezi kukwepa kulitaja jina la Muumin Mwinjuma, maarufu kama ‘Kocha wa Dunia’, ambaye alikuwa miongoni mwa wanamuziki wa kwanza kuupaisha muziki huo hapa nchini. Sauti...
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Coast Taarabu kutambulisha Vijukuu wa Tego
NA MWALI IBRAHIM
WAIMBAJI mahiri wa taarabu nchini kutoka kundi la Coast Taarabu, Maua na Omary Tego, wanatarajia kuwatambulisha watoto wao kwenye ulimwengu wa muziki huo katika onyesho lao maalumu litakalofanyika Jumatano katika ukumbi wa Equator Grill, Mtongani Dar es Salaam.
Shoo hiyo inayoitwa ‘Vijukuu wa Tego’ itapambwa na burudani kutoka kwa bendi kongwe ya muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma, Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, Jokha Kassim, Msaga sumu na Dar Modern Taarabu.
Mkurugenzi...
10 years ago
Mtanzania07 May
Khadija Kopa: Viongozi wa taarabu wanyonyaji
NA THERESIA GASPER
MWIMBAJI wa muziki wa taarabu, Khadija Omari Kopa, ameweka wazi kwamba baadhi ya viongozi wa bendi za taarabu huwanyonya kimapato wasanii wao ndiyo maana wengi wao hawana afya nzuri.
Khadija Kopa alisema licha ya kutokuwa na afya nzuri, wengine hushindwa kujiendeleza kimuziki kutokana na namna wanavyobanwa na viongozi wao kwa kuwa wanahofia maendeleo ya wasanii wao yanaweza kusababisha wakahamia bendi nyingine.
“Viongozi wengi wananyonya wasanii wao hivyo...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-c_xoVOiOhe4/U0F3NenpoJI/AAAAAAAAJhs/561nNrf6ies/s72-c/images.jpg)
BURIANI GWIJI LA TAARABU JUMA BHALO
![](http://4.bp.blogspot.com/-c_xoVOiOhe4/U0F3NenpoJI/AAAAAAAAJhs/561nNrf6ies/s640/images.jpg)
Na John Kitime Mfalme wa Taarab nchini Kenya ambaye pia amejijengea jina katika nchi za Afrika Mashariki, Mohamed Khamis Juma Bhalo, amefariki dunia. Bhalo amefariki dunia usiku wa Jumamosi akiwa nyumbani kwake eneo la Mji wa Zamani Mombasa, baada ya kuugua kwa muda mrefu. Juma Bhalo alizaliwa 1942 huko Shela katika wilaya ya Malindi. Mwaka1954, alijiunga na shule ya msingi ya Sir Ali bin Salim , wakati huohuo familia yake ilihakikisha anahudhuria Madrassa ili...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
HADIJA KIMOBITELI: Makubwa yalinikimbiza kuimba taarabu
MIONGONI mwa waimbaji wa kike waliofanya vizuri kipindi ambacho muziki wa dansi ulikuwa na ushindani mkubwa ni Hadija Mnoga ‘Kimobiteli.’ Dada huyo anayesifika kwa kuhamahama bendi aliweza kuwakonga nyoyo mashabiki...
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Isha Mashauzi: Kuna haja ya Tamasha la Taarabu nchini
NA FESTO POLEA, BAGAMOYO
BAADA ya kuhudhuria matamasha mbalimbali na kuona faida yake, mwanamuziki wa muziki wa taarabu, Isha Mashauzi, amesema kuna haja ya wadau wa taarabu kuandaa tamasha la muziki huo ili utangazike kimataifa.
“Matamasha ni muhimu, kuna mambo mengi tunajifunza na pia hatuwezi kualikwa waimbaji wote wa taarabu katika matamasha hayo, lakini kama kukiwa na tamasha la taarabu kubwa kama yalivyo matamasha mengine makubwa yanayofanyika nchini itasaidia kututangaza wasanii wake...
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Issa Mashauzi: Kuna haja ya tamasha la taarabu nchini
NA FESTO POLEA, BAGAMOYO
BAADA ya kuhudhuria matamasha mbalimbali na kuona faida yake, mwanamuziki wa muziki wa taarabu, Isha Mashauzi, amesema kuna haja ya wadau wa taarabu kuandaa tamasha la muziki huo ili kuutangaza kimataifa.
“Matamasha ni muhimu, kuna mambo mengi tunajifunza na pia hatuwezi kualikwa waimbaji wote wa taarabu katika matamasha hayo, lakini kama kukiwa na tamasha la taarabu kubwa kama yalivyo matamasha mengine makubwa yanayofanyika nchini itasaidia kututangaza wasanii wake...