Coast Taarabu kutambulisha Vijukuu wa Tego
NA MWALI IBRAHIM
WAIMBAJI mahiri wa taarabu nchini kutoka kundi la Coast Taarabu, Maua na Omary Tego, wanatarajia kuwatambulisha watoto wao kwenye ulimwengu wa muziki huo katika onyesho lao maalumu litakalofanyika Jumatano katika ukumbi wa Equator Grill, Mtongani Dar es Salaam.
Shoo hiyo inayoitwa ‘Vijukuu wa Tego’ itapambwa na burudani kutoka kwa bendi kongwe ya muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma, Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, Jokha Kassim, Msaga sumu na Dar Modern Taarabu.
Mkurugenzi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0tfSUzsDh-Y/Vfc57Gs5IaI/AAAAAAAH40E/syTBtiwnOR0/s72-c/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
nyota wa muziki wa dansi na taarabu kutambulisha wimbo wa "amani kwanza' leo mango garden jijini Dar es salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-0tfSUzsDh-Y/Vfc57Gs5IaI/AAAAAAAH40E/syTBtiwnOR0/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
10 years ago
GPL20 Jul
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Muumin ageuzia karata Taarabu
UKIZUNGUMZIA muziki wa dansi nchini huwezi kukwepa kulitaja jina la Muumin Mwinjuma, maarufu kama ‘Kocha wa Dunia’, ambaye alikuwa miongoni mwa wanamuziki wa kwanza kuupaisha muziki huo hapa nchini. Sauti...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Shaa: Natamani kuimba taarabu
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Sara Kaisi ‘Shaa’ au ‘Malkia wa Uswazi’ amesema alitamani kuimba taarabu kabla ya kusambaza kazi yake ya ‘Sugua gaga’ ambayo inafanya vizuri katika...
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Taarabu ya ukumbini yakemewa Rwanda
11 years ago
CloudsFM25 Jun
Diamond Platnumz aivamia Taarabu...
Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwasasa anayo heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana na muziki wake pamoja na kuingia kwenye tuzo za MTV MAMA na BET leo alikuwa kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds Fm ameuongelea muziki wa Taarabu ambao pia anaweza kuuimba na alishawai kuomba na nafasi Jahazi Morden Taarab ya kuimba kabla hajawa
Diamond Platnumz....
Hii ni video clip inayomuonesha akiimba muziki wa taarabu....
10 years ago
Mtanzania10 Feb
Dimpoz kutambulisha mpya Marekani
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, anatarajia kuanza kutambulisha nyimbo mpya katika ziara yake nchini Marekani, Februari 13 hadi 15, mwaka huu.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Ommy Dimpoz alisema ziara hiyo itakuwa ya kwanza tangu mwaka huu ulipoanza.
“Natarajia kuanza ziara yangu ya kwanza tangu mwaka huu umeanza, nilikwenda Kenya na kufanya kazi moja na Avirl kisha nikarudi nyumbani,” alisema Ommy Dimpoz.
Alisema mbali na...
10 years ago
GPL28 Jul
10 years ago
GPL09 Aug
TEGO: SERIES1, EPISODE 03