Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TEGO: SERIES 01, EPISODE 02

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: TEGO SERIES 01, EPISODE 05

Eheee! mambo yamekuwa matamu, baada ya kuendekeza tabia ya kuchepuka  kwa muda mrefu  sasa wezi wanakutana. Mgembo anamfumania mpenzi wake Cecilia akiwa na Jay, wakati huo Jay naye anamuona mkewe, Femi akiwa na Mgembo. Kifo kinanukia hapa. Fuatilia...  

 

10 years ago

GPL

TEGO: SERIES1, EPISODE 03

Haya Mambo yanazidi kuwa matamu, Cecilia ameamua kujiachia kabisa na Mr.Jay, wakati huo Mgembo naye anaamua kujiachia na Femi mke wa Jay. Kila mmoja wa wanandoa hawa amechota kiasi kikubwa cha pesa benki ili kumpatia mpenzi wake. Je, nini kitaendelea? Fuatilia ...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mtanzania

Coast Taarabu kutambulisha Vijukuu wa Tego

TAARABU Khairat Omary na Tariq MohamedNA MWALI IBRAHIM

WAIMBAJI mahiri wa taarabu nchini kutoka kundi la Coast Taarabu, Maua na Omary Tego, wanatarajia kuwatambulisha watoto wao kwenye ulimwengu wa muziki huo katika onyesho lao maalumu litakalofanyika Jumatano katika ukumbi wa Equator Grill, Mtongani Dar es Salaam.

Shoo hiyo inayoitwa ‘Vijukuu wa Tego’ itapambwa na burudani kutoka kwa bendi kongwe ya muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma, Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, Jokha Kassim, Msaga sumu na Dar Modern Taarabu.

Mkurugenzi...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani