TEGO: SERIES1, EPISODE 03
Haya Mambo yanazidi kuwa matamu, Cecilia ameamua kujiachia kabisa na Mr.Jay, wakati huo Mgembo naye anaamua kujiachia na Femi mke wa Jay. Kila mmoja wa wanandoa hawa amechota kiasi kikubwa cha pesa benki ili kumpatia mpenzi wake. Je, nini kitaendelea? Fuatilia ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL28 Jul
9 years ago
GPL07 Sep
GLOBAL TV ONLINE: TEGO SERIES 01, EPISODE 05
9 years ago
GPL15 Sep
9 years ago
GPL25 Sep
10 years ago
GPL20 Jul
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/hmYlzBzoYzM/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/1uPevrcEuf0/default.jpg)
9 years ago
GPL07 Oct
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Coast Taarabu kutambulisha Vijukuu wa Tego
NA MWALI IBRAHIM
WAIMBAJI mahiri wa taarabu nchini kutoka kundi la Coast Taarabu, Maua na Omary Tego, wanatarajia kuwatambulisha watoto wao kwenye ulimwengu wa muziki huo katika onyesho lao maalumu litakalofanyika Jumatano katika ukumbi wa Equator Grill, Mtongani Dar es Salaam.
Shoo hiyo inayoitwa ‘Vijukuu wa Tego’ itapambwa na burudani kutoka kwa bendi kongwe ya muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma, Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, Jokha Kassim, Msaga sumu na Dar Modern Taarabu.
Mkurugenzi...