Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond Platnumz aivamia Taarabu...

Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwasasa anayo heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana na muziki wake pamoja na kuingia kwenye tuzo za MTV MAMA na BET leo alikuwa kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds Fm ameuongelea muziki wa Taarabu ambao pia anaweza kuuimba na alishawai kuomba na nafasi Jahazi Morden Taarab ya kuimba kabla hajawa
Diamond Platnumz....
Hii ni video clip inayomuonesha akiimba muziki wa taarabu....

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Africanjam.Com

DIAMOND PLATNUMZ PROFILE


Nasibu Abdul Juma (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz (or simply Diamond), is a Bongo Flava recording artist and singer from Tanzania. He is best known for his hit song "Number One". Diamond has won numerous awards at Channel O and the Prestigious HiPipo Music Awards. He performed at
the Big Brother Africa 7 eviction show in May 2012. Diamond is considered influential among his fans, and is said to be the most loved and decorated Tanzanian artist at the...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ KAZINI

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na vijana wake wakifanya maandalizi kwa ajili ya shoo yao ya kesho Januari 8, 2015 jijini Lagos, Nigeria kwenye hafla ya utoaji Tuzo za Mwanasoka Bora wa Afrika 2014.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Mkwasa aivamia Al Ahly

Mabingwa wa Tanzania, Yanga katika kuhakikisha wanavunja mwiko wa kufungwa na Waarabu, watamtuma kocha msaidizi Boniface Mkwasa kuishuhudia mechi ya Super Cup Afrika kati ya Al Ahly na CS Sfaxien.

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

THIS IS DIAMOND PLATNUMZ! CHEKI ANAVYOWAKIMBIZA!

Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania Diamond Platnumz, amekuwa akiwakimbiza katika upigiwaji wa kura kuwania tuzo za Muziki wa Televisheni ya Watu Weusi Marekani (Black Entertainment Television-BET) katika kipengele cha Best International Act: Africa. Tuzo hizo zitatolewa jijini Los Angeles, Marekani Juni 29, 2014. Mpaka jioni hii, Mei 19, Diamond anaongoza kwa asilimia 75.79 akiwa amewaacha wengine nyuma...

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani