Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Mkwasa aivamia Al Ahly

Mabingwa wa Tanzania, Yanga katika kuhakikisha wanavunja mwiko wa kufungwa na Waarabu, watamtuma kocha msaidizi Boniface Mkwasa kuishuhudia mechi ya Super Cup Afrika kati ya Al Ahly na CS Sfaxien.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Mkwasa: We’ll attack Al Ahly

Young Africans assistant head coach Boniface Mkwasa expects an attacking Al Ahly side when they lock horns in the second leg of the first round of the Caf Champions League on Sunday.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Mkwasa alamba mkataba

HATIMAYE Kocha Charles Mkwasa ameingia mkataba wa kudumu wa mwaka mmoja na nusu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kukinoa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars. Mkataba huo ulisainiwa jana Dar es Salaam na umeanza kufanya kazi kuanzia Oktoba 1, mwaka huu hadi Machi 31, 2017.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Al Ahly aichambua Yanga

Kocha Msaidizi wa Al Ahly, Ahmed Ayoub ameichambua Yanga kwa kusema ni timu bora katika kushambulia, lakini si nzuri kwenye safu ya ulinzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa Yanga aishtukia Al Ahly

Kocha wa Yanga, Hans Van der Pluijm amebaini janja ya Al Ahly ya kuifuatilia, lakini  yeye atabadili mbinu za uchezaji za timu yake.

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA MKWASA AITA 26 TIMU YA TAIFA STARS

Kocha Mkwasa (kushoto) na msaidizi wake Hemed Morocco wakiongea na waandishi wa habari.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 104
TAREHE 24 JUNI 2015
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.

Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Al Ahly awahofia Kiiza, Ngasa, Kavumbagu, Okwi

Kocha wa Mabingwa wa Soka Afrika, Al Ahly, Mohamed Youssef amesema kati ya wachezaji anaowatilia shaka na ana hofu nao katika mechi ya marudiano Jumapili itakayochezwa saa mbili kamili kwa saa za hapa nchini ni Mrisho Ngasa, Hamis Kiiza na Didier Kavumbagu.

 

11 years ago

GPL

Kocha raia wa Uingereza aipa Yanga mbinu za kuing’oa Al Ahly

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall. Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Azam, Stewart Hall, raia wa Uingereza, ameibuka na kuielekeza Yanga cha kufanya kama kweli inataka kuiondoa Al Ahly ya Misri kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga inatarajiwa kuumana na mabingwa hao watetezi kwenye mchezo wa hatua ya pili ya michuano hiyo baada ya kuifunga Komorozine ya Comoro kwa jumla ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani