Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha raia wa Uingereza aipa Yanga mbinu za kuing’oa Al Ahly

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall. Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Azam, Stewart Hall, raia wa Uingereza, ameibuka na kuielekeza Yanga cha kufanya kama kweli inataka kuiondoa Al Ahly ya Misri kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga inatarajiwa kuumana na mabingwa hao watetezi kwenye mchezo wa hatua ya pili ya michuano hiyo baada ya kuifunga Komorozine ya Comoro kwa jumla ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA: Yanga kutumia mbinu za Al-Ahly

>Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema kikosi chake kipo tayari kwa vita na kuahidi kucheza soka la kushambulia muda wote dhidi ya  BDF XI ya Botswana.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Al Ahly aichambua Yanga

Kocha Msaidizi wa Al Ahly, Ahmed Ayoub ameichambua Yanga kwa kusema ni timu bora katika kushambulia, lakini si nzuri kwenye safu ya ulinzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa Yanga aishtukia Al Ahly

Kocha wa Yanga, Hans Van der Pluijm amebaini janja ya Al Ahly ya kuifuatilia, lakini  yeye atabadili mbinu za uchezaji za timu yake.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu aipa mbinu Serikali kushusha ada

Mhashamu Askofu Tarcius NgalalekumtwaSERIKALI imeombwa kurudisha mfumo wa zamani wa kuzipatia shule binafsi ruzuku, lengo ni kuzifanya shule hizo kupunguza ada na hivyo kusaidia kuondoa tabaka la kielimu miongoni mwa Watanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha aipa nafasi Azam

Kocha wa klabu ya TP Mazembe, Carteron Patrice amesema kama Azam itaendelea na kasi iliyoionyesha katika mchezo wao wa juzi, wataiondosha El -Merrikh ya Sudan katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Mourinho aipa taji Man City

>Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amesisitiza Manchester City bado wananafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu pamoja na kikosi chake kukalia usukani kwa mara ya kwanza tangu Septemba.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Mkwasa aivamia Al Ahly

Mabingwa wa Tanzania, Yanga katika kuhakikisha wanavunja mwiko wa kufungwa na Waarabu, watamtuma kocha msaidizi Boniface Mkwasa kuishuhudia mechi ya Super Cup Afrika kati ya Al Ahly na CS Sfaxien.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Al Ahly awahofia Kiiza, Ngasa, Kavumbagu, Okwi

Kocha wa Mabingwa wa Soka Afrika, Al Ahly, Mohamed Youssef amesema kati ya wachezaji anaowatilia shaka na ana hofu nao katika mechi ya marudiano Jumapili itakayochezwa saa mbili kamili kwa saa za hapa nchini ni Mrisho Ngasa, Hamis Kiiza na Didier Kavumbagu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Simba aiga mbinu za Azam

Mafanikio ambayo klabu ya Azam imeyapata kwenye mashindano ya Kombe la Kagame mwezi uliopita kwa kucheza mechi sita bila kuruhusu bao, yameishawishi Simba kuiga mfumo huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani