Askofu aipa mbinu Serikali kushusha ada
SERIKALI imeombwa kurudisha mfumo wa zamani wa kuzipatia shule binafsi ruzuku, lengo ni kuzifanya shule hizo kupunguza ada na hivyo kusaidia kuondoa tabaka la kielimu miongoni mwa Watanzania.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb0ws6VsqppOqcnPXpWjrCPPJypu2xdxHoAb0yxL4uIpOi38PSO3J4iIdmSujS6p9maCxnM7pIkIMkAl7qhasSyZ/KOCHAYANGA.gif?width=650)
Kocha raia wa Uingereza aipa Yanga mbinu za kuing’oa Al Ahly
9 years ago
Mwananchi19 Sep
Serikali kushusha bei ya umeme Oktoba
10 years ago
Habarileo22 Jun
Serikali kushusha ushuru wa mafuta leo?
SERIKALI leo inatazamiwa kujibu hoja mbalimbali zilizoibuka wakati wa mjadala wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16.
11 years ago
Habarileo04 May
Serikali kushusha neema shule za Kata
SERIKALI imesema imejipanga kuongeza uwekezaji katika Shule za Sekondari za Kata nchini ili kuongeza kiwango cha ufaulu ambapo pia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa katika sekta ya elimu umesaidia kuinua kiwango cha ufaulu kidato cha nne ambacho kilitetereka kwa miaka mitatu mfululizo.
10 years ago
GPLSERIKALI YATAKIWA KUSHUSHA BEI YA NAULI YA MABASI
10 years ago
Vijimambo16 Apr
Mnyika aipa angalizo serikali kuhusu ajali.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Myika-16April2015.jpg)
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, John Mnyika, ameitaka serikali kulichukulia kwa uzito tatizo la kukithiri kwa ajali za barabarani, kama ambavyo taifa linavyotumia nguvu kubwa kukabiliana na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) yaliyofumka kwa kasi kubwa nchini.
Mnyika alisema takwimu za kiwango cha ajali zilizotokea ndani ya siku 102...
11 years ago
Habarileo08 Dec
Chenge aipa somo serikali kuhusu mikopo
SERIKALI imeshauriwa kukopa ndani ya ukomo wa Sh bilioni 1,120 kutokana na masharti ya Shirika la Kimataifa la Fedha(IMF) na Benki ya Dunia ili kuweza kugharamia miradi mikubwa ya kitaifa ya kimkakati, kama ujenzi wa reli na bandari.
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-tknbYmhIceA/U_2j-pSBZJI/AAAAAAAABkE/LxTfuzPX150/s72-c/kikwete-new-748393.jpg)
Serikali kufuta ada sekondari
Lengo kuwa na elimu bure hadi kidato cha nne JK asema ni mkakati wa kuboresha elimu nchini
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza anamaliza kidato cha nne.
Rais Kikwete alikuwa akizungumza jana na wanajumuia ya Chuo Kikuu Mzumbe, Morogoro na wakazi wa vijiji vya jirani na chuo hicho ikiwa sehemu ya...
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Dk Kilahama ashauri Serikali itoze ada