Kocha aipa nafasi Azam
Kocha wa klabu ya TP Mazembe, Carteron Patrice amesema kama Azam itaendelea na kasi iliyoionyesha katika mchezo wao wa juzi, wataiondosha El -Merrikh ya Sudan katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Kocha Mourinho aipa taji Man City
10 years ago
Habarileo31 Jul
Malinzi aipa tano Azam
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa klabu ya Azam FC kwa kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame inayotimua vumbi jijini Dar es Salam.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb0ws6VsqppOqcnPXpWjrCPPJypu2xdxHoAb0yxL4uIpOi38PSO3J4iIdmSujS6p9maCxnM7pIkIMkAl7qhasSyZ/KOCHAYANGA.gif?width=650)
Kocha raia wa Uingereza aipa Yanga mbinu za kuing’oa Al Ahly
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Kocha Yanga: ‘Kila nafasi bao’
9 years ago
Habarileo11 Nov
Kocha Pluijm ampa nafasi Samatta Ulaya
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amempongeza mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta kwa kuiwezesha TP Mazembe kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Afrika na kumshauri sasa ni wakati wake wa kucheza soka la kulipwa Ulaya.
9 years ago
Habarileo20 Aug
Azam yaachana na kocha
ZIKIWA zimesalia takriban siku mbili kabla ya mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga, Azam imeachana na kocha msaidizi George Nsimbe baada ya kufikia makubaliano. Akizungumza jijini jana, Ofisa habari wa Azam FC, Jafar Iddi alithibitisha kuondoka kwa Nsimbe na kusema nafasi yake imechukuliwa na Romano aliyekuwa timu B.
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Kocha wa Azam aenda likizo
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Kocha Azam aipania Ndanda
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema atahakikisha kikosi chake kinapata ushindi dhidi ya Ndanda ya Mtwara kesho baada ya kuambulia pointi moja dhidi ya Yanga Jumamosi iliyopita.
Hall aliyepania kushinda mechi kumi za kwanza za Ligi Kuu, amesema mechi dhidi ya Yanga imevuruga hesabu zake, lakini ameyafanyia kazi makosa yaliyowagharimu ili kuendeleza wimbi la ushindi.
Azam ambayo msimu uliopita ilifungwa bao 1-0 na timu hiyo kwenye Uwanja wa Nangwanda...
9 years ago
Habarileo19 Oct
Kocha Azam alia na waamuzi
KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuwa makini na waamuzi akidai wanaharibu mechi za Ligi Kuu kwa kuzipendelea baadhi ya timu. Hall aliyasema hayo baada ya mchezo dhidi ya Yanga juzi uliomalizika kwa sare ya 1-1.