Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BURIANI GWIJI LA TAARABU JUMA BHALO

Marehemu Juma Bhalo
Na John Kitime Mfalme wa Taarab nchini Kenya ambaye pia amejijengea jina katika nchi za Afrika Mashariki, Mohamed Khamis Juma Bhalo, amefariki dunia. Bhalo amefariki dunia usiku wa Jumamosi akiwa nyumbani kwake eneo la Mji wa Zamani Mombasa, baada ya kuugua kwa muda mrefu. Juma Bhalo  alizaliwa 1942 huko  Shela katika wilaya ya Malindi. Mwaka1954, alijiunga na shule ya msingi ya Sir Ali bin Salim , wakati huohuo familia yake ilihakikisha anahudhuria Madrassa ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BURIANI BURIANI PROFESA ALI MAZRUI

Oktoba  14,  mwaka jana  Uwakilishi wa Kudumu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa  uliandaa hafla ya kwanza ya aina yake ya kumkumbuka na kumuenzi Baba wa Taifa  Mwalimu Julius   kambarage Nyerere.  Hafla hiyo ilihudhuriwa na  Wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao hapa  Umoja wa  Mataifa na wageni mbalimbali. Ni hafla iliyoambatana na uzinduzi wa kitabu kinachomhusu Baba wa Taifa. Kitabu hicho   kiliandikwa kwa ufundi mkubwa na Profesa Ali Mazrui   kwa kushirikiana...

 

11 years ago

Michuzi

MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE,JUMA BIGLEE AMCHAKAZA JACK SIMELA

Bondia Juma Biglee (kulia) akimshambulia kwa makonde mazito Bondia Jack Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema Inn Chalinze mjini,mkoani Pwani.Biglee alishinda kwa point. Mabondia hao wakitupiana makonde mazito mazito. Bondia Juma Biglee akinyooshwa mkono juu baada ya kumshinda Jack Simela wa Chalinze. Bondia Mwaite Juma (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na  Bondia Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt Shein aongoza maziko ya Muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na  waislamu na Viongozi kumuombea dua  Muasisi wa CCM  Marehemu Mzee Juma Ameir Juma baada ya kumswalia katika Msikiti wa Abdalla Rashid Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi na amezikwa leo kijijini kwao  Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) pamoja na Viongozi na Waislamu wakibeba Jeneza lenye...

 

11 years ago

GPL

BAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja (kulia) akijaribu kuumiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Awadh Juma. ...Kaseja akiuchukua mpira.…

 

11 years ago

CloudsFM

Diamond Platnumz aivamia Taarabu...

Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwasasa anayo heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana na muziki wake pamoja na kuingia kwenye tuzo za MTV MAMA na BET leo alikuwa kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds Fm ameuongelea muziki wa Taarabu ambao pia anaweza kuuimba na alishawai kuomba na nafasi Jahazi Morden Taarab ya kuimba kabla hajawa
Diamond Platnumz....
Hii ni video clip inayomuonesha akiimba muziki wa taarabu....

 

11 years ago

BBCSwahili

Taarabu ya ukumbini yakemewa Rwanda

Viongozi wa kidini wanasema akina mama wa kiislam wanakiuka sheria za dini kwa kucheza muziki wa taarabu kwa mbwembwe na mitindo isiyofaa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muumin ageuzia karata Taarabu

UKIZUNGUMZIA muziki wa dansi nchini huwezi kukwepa kulitaja jina la Muumin Mwinjuma, maarufu kama ‘Kocha wa Dunia’, ambaye alikuwa miongoni mwa wanamuziki wa kwanza kuupaisha muziki huo hapa nchini. Sauti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shaa: Natamani kuimba taarabu

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Sara Kaisi ‘Shaa’ au ‘Malkia wa Uswazi’ amesema alitamani kuimba taarabu kabla ya kusambaza kazi yake ya ‘Sugua gaga’ ambayo inafanya vizuri katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Coast Taarabu kutambulisha Vijukuu wa Tego

TAARABU Khairat Omary na Tariq MohamedNA MWALI IBRAHIM

WAIMBAJI mahiri wa taarabu nchini kutoka kundi la Coast Taarabu, Maua na Omary Tego, wanatarajia kuwatambulisha watoto wao kwenye ulimwengu wa muziki huo katika onyesho lao maalumu litakalofanyika Jumatano katika ukumbi wa Equator Grill, Mtongani Dar es Salaam.

Shoo hiyo inayoitwa ‘Vijukuu wa Tego’ itapambwa na burudani kutoka kwa bendi kongwe ya muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma, Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, Jokha Kassim, Msaga sumu na Dar Modern Taarabu.

Mkurugenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani