Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Isha Mashauzi: Kuna haja ya Tamasha la Taarabu nchini

Isha+BombaNA FESTO POLEA, BAGAMOYO

BAADA ya kuhudhuria matamasha mbalimbali na kuona faida yake, mwanamuziki wa muziki wa taarabu, Isha Mashauzi, amesema kuna haja ya wadau wa taarabu kuandaa tamasha la muziki huo ili utangazike kimataifa.

“Matamasha ni muhimu, kuna mambo mengi tunajifunza na pia hatuwezi kualikwa waimbaji wote wa taarabu katika matamasha hayo, lakini kama kukiwa na tamasha la taarabu kubwa kama yalivyo matamasha mengine makubwa yanayofanyika nchini itasaidia kututangaza wasanii wake...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Issa Mashauzi: Kuna haja ya tamasha la taarabu nchini

Isha+BombaNA FESTO POLEA, BAGAMOYO

BAADA ya kuhudhuria matamasha mbalimbali na kuona faida yake, mwanamuziki wa muziki wa taarabu, Isha Mashauzi, amesema kuna haja ya wadau wa taarabu kuandaa tamasha la muziki huo ili kuutangaza kimataifa.

“Matamasha ni muhimu, kuna mambo mengi tunajifunza na pia hatuwezi kualikwa waimbaji wote wa taarabu katika matamasha hayo, lakini kama kukiwa na tamasha la taarabu kubwa kama yalivyo matamasha mengine makubwa yanayofanyika nchini itasaidia kututangaza wasanii wake...

 

10 years ago

Michuzi

MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI WATHIBITISHA RASMI MTANANGE WA JAHAZI NA MASHAUZI CLASSIC

Hatimaye wakurugenzi wa Mashauzi Classic na Jahazi Modern Taarab, wamefanya mkutano na waandishi wa habari na kuthibitisha kuwepo kwa onyesho la pamoja la makundi hayo yenye nguvu katika muziki wa taarab.
 Onyesho hilo litafanyika mwezi huu Jumapili tarehe 22 ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel Magomeni. Mkurugenzi wa Jahazi, Mzee Yussuf na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Ramadhan maarufu kama Isha Mashauzi, wamesema siku hiyo hatumwi mtoto dukani. 
 Wakiongea katika mkutano huo wa...

 

10 years ago

Michuzi

Isha mashauzi apigwa kabali

Isha  Mashauzi akipigwa kabali na 93.7 EFM. Bofya mshale mwekundu umsikie mwenyewe anavyojibu mapigo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Isha Mashauzi anapowabeba Yatima

NI wanamuziki wachache wanaotoka katika kundi na kwenda kufanya kazi pekee (Solo Artist) na kufanikiwa, kwani wengi wao huishia kusikojulikana, lakini wenye kujiamini na kujitambua kipaji alicho nacho katika fani...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Isha Mashauzi – Jiamini

isha Mashauzi

Mwimbaji bora wa kike wa taarab Isha Mashauzi, amezidi kudhihirisha kuwa yuko vizuri hata nje ya taarab baada ya kuachia ngoma yake mpya inaitwa “JIAMINI” iliyoko katika miondoko ya zouk rumba.

Studio za Soft Records chini ya producer Pitchou Mechant,

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

10 years ago

GPL

AL-SHABAAB WAMVAMIA ISHA MASHAUZI KENYA

Stori: Shakoor Jongo Oooh nooo! Mwimbaji na Kiongozi wa Kundi la Mashauzi Classic, Aisha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuvamiwa na kundi linalojiita Al-Shaabab (siyo wale orijino wanaosifika kwa ugaidi). Mwimbaji na Kiongozi wa Kundi la Mashauzi Classic, Aisha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’. Tukio hilo ambalo liliibua sintofahamu kwa wananchi, lilitokea juzikati katika...

 

9 years ago

Bongo5

Isha Mashauzi anapenda kufanya kazi na Cassim

Isha Bomba

Muimbaji wa Taarab, Isha Mashauzi aka ‘Queen of the Best Melodies’ amesema ana hamu ya kumshirikisha muimbaji wa ‘Subira’ Cassim.

Isha Bomba

Akiongea na Clouds E ya Clouds TV, Isha alisema anakubali utunzi wa muimbaji huyo.

“Wasanii wengi wa Bongo Flava ni wakali lakini kwa mimi ningependa sana kufanya kazi na Cassim Mganga kwani ni msanii ambaye namkubali sana,” alisema.

Hivi karibuni kiongozi huyo wa Mashauzi Classic alizindua albamu yake mpya, ‘Sura Surambi.’

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani