Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU AMHENYESHA MBOTO UKUMBINI

DIVA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni amemhenyesha staa mwenzake wa filamu, Haji Salum ‘Mboto’ baada ya kumpa kibarua cha kulishika gauni lake lisiguse chini. Tukio hilo lilitokea kwenye fainali ya shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT 2015) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta jijini Dar ambapo Lulu na Mboto walikuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LULU AWEHUKA UKUMBINI

Stori: Musa Mateja Mchecheto! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, hivi karibuni alijikuta akiendelea kuwehukia penzi la mwanamuziki Mkanada anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Justin Drew Bieber (20), Amani  lina cha kushika mkononi. Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Ishu hiyo ilitokea Julai 14, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa BoT uliopo maeneo ya...

 

11 years ago

GPL

LULU AOGESHWA POMBE UKUMBINI

Stori: Musa Mateja na Gladness Mallya
Kha! Katika hali isiyoitarajiwa, nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ amejikuta akiangua kilio cha ukweli kama mtoto kufuatia kuogeshwa kwa pombe mwilini, jambo ambalo hakulitarajia, Risasi Jumamosi limetonywa.
Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ akimwagiwa pombe kwenye birthday yake. Tukio hilo la aina yake...

 

11 years ago

Mwananchi

Amissi Tambwe amhenyesha Casillas

Kama kuna mchezaji Tanzania amekuwa akiumiza kichwa kutafuta tiba ya kumfunga kipa mpya wa Simba, Hussein Sharif ‘Casillas’, asiumize kichwa tena. Amissi Tambwe ana jibu.

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mambo matano yanayompaisha Mboto

UNAPOZUNGUMZIA wachekeshaji wanaofanya vizuri hapa nchini, hakika mchekeshaji Salim Haji ‘Mboto’ kamwe huwezi kuacha kulitaja jina lake. Kwa wale wasiofahamu historia yake, wanaweza wakadhani msanii huyu alianza kazi hiyo miaka...

 

11 years ago

GPL

MBOTO APAGAWISHWA NA KHADIJA KOPA

Stori: Musa Mateja KOMEDIANI maarufu Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ alijikuta akipagawishwa vilivyo na shoo ya Malkia wa Taarab Bongo, Khadija Kopa kiasi cha kushindwa kujizuia na kupanda jukwaani kuungana na wacheza shoo wake. Komedian maarufu Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ akiwa jukwaani mara baada ya kupagawishwa vilivyo na shoo ya Malkia wa Taarab Bongo, Khadija Kopa. Tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita...

 

11 years ago

GPL

MBOTO: SIJAWAHI KUTOKA NA MSANII

MKALI wa komedi Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ amesema hajawahi kutoka kimapenzi na msanii mwenzake na hana mpango wa kufanya hivyo. Mkali wa komedi Bongo, Haji Salum ‘Mboto’. Akistorisha na Stori Mix, Mboto alisema: “Ni nadhiri niliyojiwekea tangu naanza fani hii. Kamwe siwezi kutoka na msanii mwenzangu. Unajua unapofanya kazi na mtu, anakuwa kama ndugu yako, isitoshe utakapoingiza tu mambo ya...

 

11 years ago

GPL

MBOTO ATOA WOSIA WA KIFO

Stori: Gladness Mallya MKALI wa vichekesho Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ ameibuka na kusema kuwa endapo atafariki dunia mwili wake ukaagiwe katika Viwanja vya TCC Chang’ombe na siyo Leaders kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwa wasanii wengi wanapokufa. Mkali wa vichekesho Bongo, Haji Salum ‘Mboto’. Akizungumza na paparazi wetu kwenye Viwanja vya Leaders wakati wa msiba wa msanii mwenzake, achel...

 

11 years ago

GPL

MBOTO: BIFU NA WEMA? NAANZAJE!

Stori: Maria Halimoja na Rhoda Josiah BIFU? Komediani Haji Salum ‘Mboto’ amekanusha vikali kuwa na bifu na Wema Sepetu baada ya tetesi za chinichini kuvuma kwamba wapo kwenye bifu zito. Staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu akipozi. Akijibu tuhuma hizo, Mboto alisema kuwa haoni sababu ya kuwa na bifu na Wema zaidi ya kushirikiana naye katika kazi na hivi karibuni amempa kazi ya kumuandikia stori na makubaliano yao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani