Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete amlilia Mngodo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, kutokana na kifo cha mtangazaji wa habari mkongwe, Godfrey Mngodo aliyefariki dunia Dar es Salaam jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Rais Kikwete amlilia Dk Shija

RAIS Jakaya Kikwete ameelezea huzuni na masikitiko yake kuomboleza kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Shija.

 

9 years ago

StarTV

Rais Kikwete Amlilia Kombani

Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kufuatia Kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani aliyefariki Dunia Septemba 24, mwaka huu katika Hospitali ya Apollo Nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Kongosho.

Rais kikwete katika ujumbe wake amesema, Kombani alikuwa Mama mchapakazi, hodari na aliyependa ushirikiano na kuwapa pole Wananchi wa Ulanga pamoja na wafanyakazi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete amlilia Askofu Lukanima

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na  Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kutokana na kifo cha Mhashamu Askofu mstaafu Fortunatus Lukanima, aliyekuwa Askofu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yombayomba amlilia Rais Kikwete amrudishe kazini

>Bingwa wa zamani ya ngumi wa Jumuiya ya Madola kwenye uzani wa Bantam, Michael Yombayomba amemwomba Rais Jakaya Kikwete amrudishe kazini.

 

11 years ago

Michuzi

JK RAIS KIKWETE AMLILIA MAALIM GURUMO, ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara kufuatia kifo cha mwanamuziki maarufu na wa siku nyingi, Muhidini Maalim Gurumo kilichotokea tarehe 14 Aprili, 2014 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa moyo uliomsumbua kwa muda mrefu. “Nimesikitishwa na kuhuzunishwa na taarifa za kifo cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete amlilia Mwandishi wa habari Mlimani

Mpigapicha na Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Televisheni cha Mlimani, Maximilian John amefariki dunia katika Hospitali ya St Monica iliyopo Sinza, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete amlilia Makaidi, awapa pole NLD

RAIS Jakaya Kikwete amekitumia Chama cha National League for Democracy (NLD) salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Dk Emmanuel Makaidi ambaye ameaga dunia katika Hospitali ya Mkoa wa Lindi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Mutharika amlilia mwandishi wa BBC

Rais Peter Mutharika wa Malawi ametuma salam za rambirambi kutokana na kifo cha mwandishi wa BBC Raphael Tenthani

 

10 years ago

Mtanzania

Safari ya mwisho ya Komba *Vilio vyatawala, Rais Muluzi amlilia

Francis Godwin na Amon Mtega, Nyasa

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba yaliyofanyika jana kijijini kwao Lituhi, Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.

Wakati vilio na simanzi vikitawala muda wote msibani hapo, Rais mstaafu wa Malawi, Dk. Bakili Muluzi, ametuma salamu za rambirambi kwa wanafamilia na wananchi wa Mbinga Magharibi kutokana na msiba wa mbunge huyo.

Akitoa mahubiri katika ibada ya mazishi, Askofu wa Jimbo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani