Kikwete amlilia Mwandishi wa habari Mlimani
Mpigapicha na Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Televisheni cha Mlimani, Maximilian John amefariki dunia katika Hospitali ya St Monica iliyopo Sinza, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog26 May
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Mwandishi wa TV Mlimani Maximilian John
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na marehemu Papaa Max wa Mlimani TV enzi za uhai wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari Mheshimiwa Dkt.Fenella Mukangara kufuatia kifo cha Mpiga picha wa kituo cha television cha Mlimani, Ndugu Maximilian John kilichotokea alfajiri ya kuamkia leo tarehe 24 Mei,2014..
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Bwana Maximilian kilichotokana na maradhi ya...
11 years ago
Habarileo26 May
JK amlilia Mwandishi Maximilian
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kufuatia kifo cha Mpigapicha wa Kituo cha Televisheni cha Mlimani, Maximilian John kilichotokea alfajiri ya Mei 24, mwaka huu.
10 years ago
BBCSwahili18 May
Rais Mutharika amlilia mwandishi wa BBC
10 years ago
MichuziMAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INOCENT MUNYUKU
11 years ago
Michuzi02 Jul
9 years ago
Habarileo13 Sep
Rais Kikwete amlilia Mngodo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, kutokana na kifo cha mtangazaji wa habari mkongwe, Godfrey Mngodo aliyefariki dunia Dar es Salaam jana.
10 years ago
Habarileo06 Oct
Rais Kikwete amlilia Dk Shija
RAIS Jakaya Kikwete ameelezea huzuni na masikitiko yake kuomboleza kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Shija.
9 years ago
StarTV26 Sep
Rais Kikwete Amlilia Kombani
Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kufuatia Kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani aliyefariki Dunia Septemba 24, mwaka huu katika Hospitali ya Apollo Nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Kongosho.
Rais kikwete katika ujumbe wake amesema, Kombani alikuwa Mama mchapakazi, hodari na aliyependa ushirikiano na kuwapa pole Wananchi wa Ulanga pamoja na wafanyakazi wa...
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Rais Kikwete amlilia Askofu Lukanima
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kutokana na kifo cha Mhashamu Askofu mstaafu Fortunatus Lukanima, aliyekuwa Askofu wa...