Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK amlilia Jenerali Mfuse

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange, kufuatia kifo cha Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

news alert: Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse afariki dunia

Marehemu Meja Jenerali (mst.) Aidan Isidore Mfuse Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange anasikitika kutangaza kifo cha Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse (mstaafu) kilichotokea tarehe 29 Oktoba 2014 katika Hospitali ya Appolo nchini India alikokuwa akipata matibabu.

Mwili wa marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse (mstaafu) unatarajia kuwasili Tanzania tarehe 31 Oktoba 2014 saa 7:30 mchana na kuhifadhiwa katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo.

Heshima za mwisho kwa Viongozi,...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha Maombolezo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es Salaam jana Novemba 1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa  kufanyika leo Jumapili Novemba 2, 2014 .…
...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE LEO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu chaMaombolezo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwendaNjombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zakeza mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ...

 

5 years ago

Michuzi

CGP SULEIMAN MZEE APANDISHWA CHEO NA RAIS MAGUFULI TOKA BREGEDIA JENERALI KUWA MEJA JENERALI



Meja Jenerali Suleiman Mzee ambaye pia ni Kamishna Jenerali wa Magereza, akizungumza na Maafisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(hawapo pichani) mapema leo Juni 3, 2020 katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza leo Juni 3, 2020, jijini Dodoma. Meja Jenerali Mzee amepandishwa cheo hicho na Rais na...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUKABIDHIWA MADARAKA YA UONGOZI KWA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia anayemaliza muda wake, Evaristus Shikongo(katikati) akipokea Salaamu ya heshima toka kwa Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maafisa na Askari wa Magereza wa Namibia(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukabidhi rasmi Uongozi(kulia) ni Waziri wa Ulinzi na Usalama Nchini Namibia, Mhe. Immanuel Ngatjizeko na kushoto kwake ni Kamishna Jenerali Mpya wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Hamunyela. Sherehe hizo zimefanyika Februari 01, 2014 katika Chuo...

 

11 years ago

Habarileo

JK amlilia Mwandishi Maximilian

Maximilian John enzi za uhai wakeRAIS Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kufuatia kifo cha Mpigapicha wa Kituo cha Televisheni cha Mlimani, Maximilian John kilichotokea alfajiri ya Mei 24, mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwambusi amlilia Nyoso

Siku moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kumlima rungu la miaka miwili nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso kutokana na kitendo cha utomvu wa nidhamu, kocha wa timu hiyo Juma Mwambusi amesema hana la kusema kufuatia adhabu aliyopewa mchezaji wake.

 

10 years ago

GPL

Tambwe amlilia Ngassa

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Wilbert Molandi,Dar es Salaam
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe, amemwambia kocha wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm kuwa, anataka kucheza na Mrisho Ngassa.Ngassa alianza na Tambwe kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya BDF na Mrundi huyo akafanikiwa kupachika mabao mawili. Mrundi huyo, akiwa anaichezea Simba, aliwahi kutamka kuwa anatamani siku moja kucheza na viungo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani