58 wafuzu mafunzo ya ukocha
Waamuzi 58 wametunikiwa vyeti vya ukocha na uamuzi Daraja C baada ya kuhitimu mafunzo ya ukocha na uamuzi wa netiboli mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 May
Kaseja ahitimu mafunzo ya ukocha
Kipa wa Yanga, Juma Kaseja amehitimu mafunzo ya awali ya ualimu wa mpira wa miguu na kupata alama ya daraja A katika mafunzo yaliyoanza Mei 5 mwaka huu na kumalizika jana katika Manispaa ya Morogoro.
10 years ago
GPLTFF YAWAPA MAFUNZO YA UKOCHA WALIMU 20
Makocha hao wapya wakiwa mazoezini pamoja na watoto wadogo. ILI kuibua na kukuza vipaji vya wanamichezo nchini, Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ limetoa mafunzo ya ukocha kwa walimu ishirini (20) wa michezo wa…
10 years ago
GPLFRAT ILALA YATOA MAFUNZO YA UKOCHA KWA VIJANA 28
Mwamuzi mstaafu wa Fifa, Omary Abdulkarim akiwaelekeza wanafunzi hao. Wanafunzi wakiwa…
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Sembu, Msenduki wafuzu madola
>Wanariadha Andrew Sembu na Mohamed Msenduki wamefikia viwango vya kushiriki michezo ya Jumuiya ya Madola vilivyowekwa na Shirikisho la riadha Tanzania (AT).
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Arsenal wafuzu hatua ya muondoano Ulaya
Olivier Giroud alifungia Arsenal mabao matatu kwa mara yake ya kwanza na kuhakikisha Gunners wanaendeleza rekodi yao nzuri Ulaya kufika hatua ya 16 bora kwa kulaza Olympiakos.
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Waethiopia na Wakenya wafuzu mita 5,000
Wanariadha 3 wa Ethiopia pamoja na wengine 3 wa Kenya wamefuzu katika fainali ya mbio za mita 5000 siku ya jumamosi mjini Beijing.
9 years ago
Habarileo13 Sep
Vijana watano wafuzu majaribio Bondeni
WACHEZAJI watano kutoka timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 wamefuzu majaribio ya kucheza soka katika klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Wakenya wafuzu kwa fainali ya mita 5000
Kenya yaimarisha matumaini ya kunyakuwa medali zaidi katika mashindano ya riadha yanayoendelea Beijing
11 years ago
Mwananchi01 Aug
UKOCHA: Nsajigwa atua Yanga
>Beki wa zamani wa Yanga, Shadrack Nsajigwa ameanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi cha vijana cha timu hiyo (Yanga B), huku akiahidi kuwaandaa wachezaji kwa weledi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania