Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sembu, Msenduki wafuzu madola

>Wanariadha Andrew Sembu na Mohamed Msenduki  wamefikia viwango vya kushiriki michezo ya Jumuiya ya  Madola vilivyowekwa na Shirikisho la riadha Tanzania  (AT).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Msenduki aandaliwe

>Mshindi wa medali ya fedha wa michezo ya Jumuiya ya Madola 1982, Juma Ikangaa amesema mwanariadha Mohamed Msenduki anauwezo kutwaa medali kama ataandaliwa saikolojia kabla ya kushiriki kwenye mashindano ya kimataifa

 

11 years ago

Mwananchi

58 wafuzu mafunzo ya ukocha

Waamuzi 58 wametunikiwa vyeti vya ukocha na uamuzi Daraja C baada ya kuhitimu mafunzo ya ukocha na uamuzi wa netiboli mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

9 years ago

Habarileo

Vijana watano wafuzu majaribio Bondeni

WACHEZAJI watano kutoka timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 wamefuzu majaribio ya kucheza soka katika klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waethiopia na Wakenya wafuzu mita 5,000

Wanariadha 3 wa Ethiopia pamoja na wengine 3 wa Kenya wamefuzu katika fainali ya mbio za mita 5000 siku ya jumamosi mjini Beijing.

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal wafuzu hatua ya muondoano Ulaya

Olivier Giroud alifungia Arsenal mabao matatu kwa mara yake ya kwanza na kuhakikisha Gunners wanaendeleza rekodi yao nzuri Ulaya kufika hatua ya 16 bora kwa kulaza Olympiakos.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wakenya wafuzu kwa fainali ya mita 5000

Kenya yaimarisha matumaini ya kunyakuwa medali zaidi katika mashindano ya riadha yanayoendelea Beijing

 

9 years ago

Bongo5

England wafuzu michuano ya Euro 2016 baada ya kuifunga timu ya taifa ya Estonia

Timu ya taifa ya England jana ilipata ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Estonia katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Ulaya mechi ilichezwa katika uwanja wa Wembley, England. Magoli yalifungwa na Theo Walcott goli la kwanza dakika ya 45 kipindi cha kwanza akipokea pasi kutoka kwa Ross Barkley na Raheem Sterling […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyambui: Tujitoe Madola

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, ameitaka Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), kuifuta Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa hadi itakapokuwa imefanya maandalizi ya kutosha. Kauli hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aliyezembea Madola kuwajibishwa

SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limesema linasubiri ripoti ya viongozi walioambatana na mabondia wa Tanzania katika Michezo ya Jumuiya ya Madola huko Glasgow, Scotland kuhusu sababu za bondia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani