Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyezembea Madola kuwajibishwa

SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limesema linasubiri ripoti ya viongozi walioambatana na mabondia wa Tanzania katika Michezo ya Jumuiya ya Madola huko Glasgow, Scotland kuhusu sababu za bondia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Chadema kuwajibishwa wanaonuka rushwa

Dk Wilibroad SlaaCHAMA cha Domekrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa maazimio makuu matatu yaliyofikiwa na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha viongozi wake waliochaguliwa ikiwa watajihusisha na vitendo vya rushwa.

 

10 years ago

Habarileo

JK ataka wanaokiuka maadili kuwajibishwa

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amesema ni lazima watumishi wa umma wanaokiuka maadili ya utumishi wa umma wawajibishwe ili iwe fundisho kwao na kwa wengine.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliokiuka makubaliano ya Ukawa kuwajibishwa

Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema umoja huo utafanya tathmini ya maeneo ambayo wangeweza kushinda kwa kusimamisha mgombea mmoja kila eneo ili kuwachukulia hatua viongozi waliokiuka makubaliano hayo.

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI CHENGE, NISINGESUBIRI KUWAJIBISHWA

Andrew Chenge. Kwako Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge.
Najua hunifahamu na hakuna mazingira yanayoweza kutukutanisha pamoja lakini hiyo hainizuii kukufishia ujumbe wangu kwako, najua ‘utamaindi’ lakini ni lazima nikwambie kwa faida yako na ya Watanzania. Mheshimiwa, mimi sikuzaliwa Desemba 24, 1947 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Zagayu kama wewe. Sikusoma Sekondari ya St. Mary’s Junior...

 

9 years ago

Mwananchi

Jenista: Kukitokea maafa El Nino, kamati kuwajibishwa

Serikali imesema itawawajibisha wajumbe wa kamati za maafa watakaoshindwa kuchukua hadhari dhidi ya maafa yatakayosababishwa mabadiliko ya tabia ya nchi na mvua za El Nino kwenye maeneo yao.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA VIONGOZI KUWAJIBIKA KABLA YA KUWAJIBISHWA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini kwenye uwanja wa Ilulu wilaya ya Lindi mjini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini ambapo aliwaambia CCM inasimamia uwajibikaji na kama mtu amekosea awajibike na akishindwa atawajibishwa mapema. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini ambapo aliwaambia wananchi hao CCM ni chama pekee chenye mfumo ulioanzia chini hivyo watu waache unyonge...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI KUWAJIBISHWA KWA MATENDO HASI YA WATOTO WAO

 Chifu wa Ushirikishwaji wa Jamii wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi Dodoma, Kamishna Msaidizi wa Polisi, SACP Engelbert  Kiondo akitoa mada mpango wa Polisi Kata kama mfumo wa utendaji wa kazi za Polisi kwa sasa wakati wa mkutano wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma, mkutano uliowahusisha pia Maafisa Tarafa, Wakaguzi wa Polisi wa Tarafa, watendaji wa Kata pamoja na Askari Polisi wa Kata. Kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya...

 

5 years ago

Michuzi

Watumishi waliokwamisha maendeleo ya miaka mitatu ya Halmashauri kuwajibishwa.

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kuwawajibisha watumishi wote walioisababishia halmashauri hiyo kupata hati yenye shaka na kumpatia taarifa ya hatua alizochukua kwa watumishi hao ndani ya siku saba kabla ya mabaraza ya madiwani kuvunjwa.

Amesema kuwa kwa mujibu wa maelekezo ya Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) yaliyotolewa tarehe 24, April, 2020 kuhusu kushughulikia hoja na mapendekezo...

 

10 years ago

Mwananchi

Lembeli: Waziri Mathayo pekee ndiye alitakiwa kuwajibishwa

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli amesema ni waziri mmoja tu kati ya wanne walioondolewa mwishoni mwa mwaka jana, aliyestahili kuwajibishwa kutokana na kashfa ya ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye Operesheni Tokomeza Ujangili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani