Chadema kuwajibishwa wanaonuka rushwa
CHAMA cha Domekrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa maazimio makuu matatu yaliyofikiwa na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha viongozi wake waliochaguliwa ikiwa watajihusisha na vitendo vya rushwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziAfisa Uhamiaji aliyekula Rushwa ya Shilingi 315,000 kuwajibishwa.
Mh. Wangabo amesema kuwa serikali haiwezi kukubali mtumishi mmoja kuvichafua vyombo vya ulinzi na usalama na kuongeza kuwa mtumishi huyo anatakiwa kuwa fundisho kwa maafisa wengine wa vyombo hivyo kwani...
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Rushwa Chadema
ZIMEIBUKA tuhuma za rushwa kwenye kura za maoni ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuzua hofu miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa nchini.
Kwa muda mrefu chama hicho kikuu cha upinzani nchini kimekuwa kikijipambanua na kuaminika mbele ya wananchi kama mpambanaji mkubwa wa rushwa, lakini safari hii hali imeanza kubadilika.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili jana na juzi zinadai kuwa wakati wa kura za maoni Jimbo la Segerea, wanachama wa Chadema walilalamika kuwepo...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
CHADEMA: Ridhiwani alitoa rushwa
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitamba kupata ushindi wa kura 20,828, sawa na 86.61% katika uchaguzi mdogo Chalinze, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeibuka na madai kwamba mgombea wa...
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Rushwa yaahirisha kura ya maoni Chadema
10 years ago
StarTV19 Aug
Rushwa yatawala uchaguzi Chadema Geita
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mjini Geita wamesema kura za maoni za ubunge na udiwani zimekuwa na vurugu nyingi kutokana na vitendo vinavyodaiwa kuwa ni vya rushwa hali iliyochangia kuchagua viongozi wanaowapendekeza baadhi ya viongozi wasimamizi wa mchakato huo.
Katika kura za maoni za udiwani, wafuasi wa Chama hicho mnamo Agosti 17 majira ya jioni walivamia ofisi ya CHADEMA na kumpiga katibu wa jimbo hilo Ezekiel Mapesa kwa kile kinachodaiwa kuhujumu kura za maoni...
11 years ago
Uhuru NewspaperRushwa ya pilau, soda yawang’oa vigogo CHADEMA
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
MWENYEKITI wa CHADEMA wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Ernest Sheshe na viongozi wengine 10, wameachia ngazi kutokana na kuchukizwa na vitendo vya rushwa.
Sheshe na wenzake hao wamefikia uamuzi huo baada ya makada wengine kumwaga rushwa ya vyakula na vinywaji kwenye uchaguzi.
Makada wengi wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuchezewa rafu na wapinzani wao, ambao wanatajwa kubebwa na baadhi ya viongozi wa makao makuu, ambapo vitendo vya rushwa vimetawala bila...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Aliyezembea Madola kuwajibishwa
SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limesema linasubiri ripoti ya viongozi walioambatana na mabondia wa Tanzania katika Michezo ya Jumuiya ya Madola huko Glasgow, Scotland kuhusu sababu za bondia...
10 years ago
Habarileo24 Dec
JK ataka wanaokiuka maadili kuwajibishwa
RAIS Jakaya Kikwete amesema ni lazima watumishi wa umma wanaokiuka maadili ya utumishi wa umma wawajibishwe ili iwe fundisho kwao na kwa wengine.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Waliokiuka makubaliano ya Ukawa kuwajibishwa