CHADEMA: Ridhiwani alitoa rushwa
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitamba kupata ushindi wa kura 20,828, sawa na 86.61% katika uchaguzi mdogo Chalinze, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeibuka na madai kwamba mgombea wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Rushwa Chadema
ZIMEIBUKA tuhuma za rushwa kwenye kura za maoni ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuzua hofu miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa nchini.
Kwa muda mrefu chama hicho kikuu cha upinzani nchini kimekuwa kikijipambanua na kuaminika mbele ya wananchi kama mpambanaji mkubwa wa rushwa, lakini safari hii hali imeanza kubadilika.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili jana na juzi zinadai kuwa wakati wa kura za maoni Jimbo la Segerea, wanachama wa Chadema walilalamika kuwepo...
10 years ago
Habarileo20 Dec
Chadema kuwajibishwa wanaonuka rushwa
CHAMA cha Domekrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa maazimio makuu matatu yaliyofikiwa na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha viongozi wake waliochaguliwa ikiwa watajihusisha na vitendo vya rushwa.
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Rushwa yaahirisha kura ya maoni Chadema
9 years ago
StarTV19 Aug
Rushwa yatawala uchaguzi Chadema Geita
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mjini Geita wamesema kura za maoni za ubunge na udiwani zimekuwa na vurugu nyingi kutokana na vitendo vinavyodaiwa kuwa ni vya rushwa hali iliyochangia kuchagua viongozi wanaowapendekeza baadhi ya viongozi wasimamizi wa mchakato huo.
Katika kura za maoni za udiwani, wafuasi wa Chama hicho mnamo Agosti 17 majira ya jioni walivamia ofisi ya CHADEMA na kumpiga katibu wa jimbo hilo Ezekiel Mapesa kwa kile kinachodaiwa kuhujumu kura za maoni...
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
David Petraeus alitoa siri za Jeshi
10 years ago
Uhuru NewspaperRushwa ya pilau, soda yawang’oa vigogo CHADEMA
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
MWENYEKITI wa CHADEMA wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Ernest Sheshe na viongozi wengine 10, wameachia ngazi kutokana na kuchukizwa na vitendo vya rushwa.
Sheshe na wenzake hao wamefikia uamuzi huo baada ya makada wengine kumwaga rushwa ya vyakula na vinywaji kwenye uchaguzi.
Makada wengi wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuchezewa rafu na wapinzani wao, ambao wanatajwa kubebwa na baadhi ya viongozi wa makao makuu, ambapo vitendo vya rushwa vimetawala bila...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ntCepEVtGJc/Uyfsi_BUS1I/AAAAAAAFUgg/jPDfgjtfK-I/s72-c/C3.jpg)
NGOME YA CHADEMA NDANI YA JIMBO LA CHALINZE YAANZA KUPANGUKA,WAWILI WARUDISHA KADI KWA RIDHIWANI KIKWETE
![](http://3.bp.blogspot.com/-ntCepEVtGJc/Uyfsi_BUS1I/AAAAAAAFUgg/jPDfgjtfK-I/s1600/C3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-u856m8sGFjY/UyfsjiwEJzI/AAAAAAAFUgo/eO5ujBYgoaY/s1600/C4.jpg)
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa