Rushwa yatawala uchaguzi Chadema Geita
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mjini Geita wamesema kura za maoni za ubunge na udiwani zimekuwa na vurugu nyingi kutokana na vitendo vinavyodaiwa kuwa ni vya rushwa hali iliyochangia kuchagua viongozi wanaowapendekeza baadhi ya viongozi wasimamizi wa mchakato huo.
Katika kura za maoni za udiwani, wafuasi wa Chama hicho mnamo Agosti 17 majira ya jioni walivamia ofisi ya CHADEMA na kumpiga katibu wa jimbo hilo Ezekiel Mapesa kwa kile kinachodaiwa kuhujumu kura za maoni...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Rushwa Chadema
ZIMEIBUKA tuhuma za rushwa kwenye kura za maoni ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuzua hofu miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa nchini.
Kwa muda mrefu chama hicho kikuu cha upinzani nchini kimekuwa kikijipambanua na kuaminika mbele ya wananchi kama mpambanaji mkubwa wa rushwa, lakini safari hii hali imeanza kubadilika.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili jana na juzi zinadai kuwa wakati wa kura za maoni Jimbo la Segerea, wanachama wa Chadema walilalamika kuwepo...
10 years ago
Michuzi15 Sep
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA
![](https://1.bp.blogspot.com/-VwjPajbyPYM/VBYGNHuHZnI/AAAAAAADDa8/w_3TshBHAoo/s1600/WP_20140914_21_58_12_Pro__highres.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-HG5Aa9bQe-c/VBYGNwW5hgI/AAAAAAADDbI/0LaVyaK69RA/s1600/WP_20140914_22_03_19_Pro.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-zkazILlqtYY/VBYGORb9FrI/AAAAAAADDbQ/kDW2ga7xEMw/s1600/WP_20140914_22_03_52_Pro__highres.jpg)
9 years ago
Mwananchi15 Nov
Kigogo Chadema auawa kinyama Geita
9 years ago
TheCitizen15 Nov
Shock as Chadema Geita leader killed
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
CHADEMA: Ridhiwani alitoa rushwa
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitamba kupata ushindi wa kura 20,828, sawa na 86.61% katika uchaguzi mdogo Chalinze, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeibuka na madai kwamba mgombea wa...
10 years ago
Habarileo20 Dec
Chadema kuwajibishwa wanaonuka rushwa
CHAMA cha Domekrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa maazimio makuu matatu yaliyofikiwa na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha viongozi wake waliochaguliwa ikiwa watajihusisha na vitendo vya rushwa.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/mawazo-2.jpg)
BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA AUAWA
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Rushwa yaahirisha kura ya maoni Chadema
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Rushwa ya uchaguzi, Guzman na hatima yetu
UCHAGUZI wa mwaka huu umehusisha na unaendelea kuhusisha matumizi makubwa ya fedha ambazo nyingi hazina maelezo, hali inayowatia shaka watu makini kiasi cha kushindwa kuelewa kama kweli pesa hizi zinazotumika ovyo namna hii, zinaweza kuwa zinatoka kwenye vyanzo halali.
Lakini hoja si tu kwamba pesa hizi zinatokana na vyanzo gani lakini vipi pesa hizi zikiweza kuwaweka viongozi madarakani ambao ni mazao ya pesa hizi haramu, ni nini utakuwa mustakabali wa taifa letu?
Wananchi nao...