Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afisa Uhamiaji aliyekula Rushwa ya Shilingi 315,000 kuwajibishwa.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameiagiza Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Rukwa kumchukulia hatua za kinidhamu Afisa uhamiaji wa Wilaya ya Nkasi aliyechukua Rushwa ya Shilingi 315,000/= kutoka kwa wahamiaji wa nchi ya Burundi aliyekuwa anapita nchini kuelekea nchi za kusini mwa Afrika.

Mh. Wangabo amesema kuwa serikali haiwezi kukubali mtumishi mmoja kuvichafua vyombo vya ulinzi na usalama na kuongeza kuwa mtumishi huyo anatakiwa kuwa fundisho kwa maafisa wengine wa vyombo hivyo kwani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Chadema kuwajibishwa wanaonuka rushwa

Dk Wilibroad SlaaCHAMA cha Domekrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa maazimio makuu matatu yaliyofikiwa na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha viongozi wake waliochaguliwa ikiwa watajihusisha na vitendo vya rushwa.

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa ya mil 2/- ahukumiwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

10 years ago

Bongo5

Shilingi bilioni 29,995,000,000 zinawasubiri wateja wa Vodacom kupitia promosheni ya JayMillions

Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions kwa kutuma ujumbe wenye neno JAY kwenye namba 15544 ili kujua kama iwapo namba zao zimeibuka na ushindi katika droo inayofanyika kila siku. Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rushwa ya ngono yamtafuna afisa elimu

AFISA Elimu Sekondari wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Julius Kakyama, anaandamwa na tuhuma nzito. Tuhuma hizi zinatoka wilayani Muleba, mkoa wa Kagera alikofanya kazi kabla ya kuhamishwa. Anadaiwa kutumia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afisa wa FIFA akiri alipokea rushwa

Marekani imechapisha taarifa inayoelezea jinsi Afisa wa zamani wa FIFA Chuck Blazer alivyokiri kuwa kupokea rushwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Afisa wa Tanroad wilayani Babati jela kwa rushwa

Mahakama ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara leo imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mkuu wa manunuzi wa Tanroads, Raphael Chauma baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuomba rushwa.

 

10 years ago

Vijimambo

AFISA UHAMIAJI ZANZIBAR, MAHAFOUDH ABDALLAH ACHUKUWA FOMU YA KUWANIA NAFSAI YA UWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM.

MTIA nia ya kuwania nafsi ya uwakilishi jimbo la Magomeni Mahfudhi Abdalla Mohammed(kushoto)akilipia fedha za fomu hiyo. Kaimu katibu msaidzi wa CCM wilaya ya Amani Asha Mzee (kulia) akimkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Uwakilishi.Mtia nia Mahafoudh Abdalla akionesha fomu hiyo.baada ya kupokea fomu.Baadhi ya wanachma wengine waliojitokeza kuch ukuwa fomu wakionesha fomu zao.(Picha na Ameir Khalid) 

 

11 years ago

Mwananchi

‘Shilingi 2,000 ziliniponza nikaibiwa mtoto’

>Aprili 6, mwaka huu ni siku ambayo mkazi wa  Kijiji cha Kibanda wilayani Kyela, Mboka Mwakikagile (20) haitaisahau.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani