Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaseja ahitimu mafunzo ya ukocha

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja amehitimu mafunzo ya awali ya ualimu wa mpira wa miguu na kupata alama ya daraja A katika mafunzo yaliyoanza Mei 5 mwaka huu na kumalizika jana katika Manispaa ya Morogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kaseja aondoka Dar, aenda kusomea ukocha

Juma Kaseja. Na Ibrahim Mussa
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja ameonyesha kuanza mapema kujiandaa na maisha ya kuwa kocha siku za baadaye atakapostaafu baada ya kuamua kwenda kusomea kozi ya ukocha mkoani Morogoro.
Kaseja ambaye amekuwa hana uhakika wa namba kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga, yupo kwenye kozi hiyo ya siku 10 ilitoratibiwa na Chama cha Makocha Mkoa wa Morogoro (Tafca-Morogoro). Akizungumza na Championi Jumatano,...

 

11 years ago

Mwananchi

58 wafuzu mafunzo ya ukocha

Waamuzi 58 wametunikiwa vyeti vya ukocha na uamuzi Daraja C baada ya kuhitimu mafunzo ya ukocha na uamuzi wa netiboli mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

10 years ago

GPL

TFF YAWAPA MAFUNZO YA UKOCHA WALIMU 20

Makocha hao wapya wakiwa mazoezini pamoja na watoto wadogo. ILI kuibua na kukuza vipaji vya wanamichezo nchini, Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ limetoa mafunzo ya ukocha kwa walimu ishirini (20) wa michezo wa…

 

10 years ago

GPL

FRAT ILALA YATOA MAFUNZO YA UKOCHA KWA VIJANA 28

Mwamuzi mstaafu wa Fifa, Omary Abdulkarim akiwaelekeza wanafunzi hao. Wanafunzi wakiwa…

 

11 years ago

GPL

MAKUKA AHITIMU UPAPARAZI

Stori: Gabriel Ng’osha MSANII wa filamu nchini, Bakari Makuka ametunukiwa stashahada ya uandishi wa habari katika chuo cha Dar es Salaam City College (DACICO) kilichopo Kibamba CCM jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Bakari Makuka akiwa kavalia joho. Akizungumza na gazeti hili katika viwanja vya chuo hicho, aliwataka wasanii wenzake kujiendeleza katika masomo ya fani mbalimbali kwa ajili ya maisha yao ya baadaye.…...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzee wa miaka 74 ahitimu shahada ya sheria

Waandishi Wetu, Mwananchi

 

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA WA MIAKA 74 AHITIMU SHAHADA YA SHERIA CHUO KIKUU HURIA

Lazaro Ole Kipeyan akisaidiwa kwenda kutunukiwa Shahada ya Sheria wakati wa Mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) huko Dodoma.(picha: Sifa Lubai/Daily News)

 

10 years ago

Vijimambo

Kibadeni astaafu rasmi ukocha

Kocha wa zamani wa Simba na Ashanti United, zote za jijini Dar es Salaam, Abdallah 'King' Kibadeni, ametangaza kuachana rasmi na kazi hiyo na kuamua kuanzisha kituo cha kulelea vijana wenye vipaji vya michezo 'spoti akademi'.

Akizungumza na NIPASHE jijini Dar es Salaam jana, Kibadeni mwenye rekodi pekee ya kufunga mabao matatu katika mechi moja (hat-trick) inayohusisha watani wa jadi, Simba na Yanga, alisema amechukua uamuzi wa kuachana na ukocha ili kuepuka malumbano na kuzongwa na viongozi...

 

11 years ago

Mwananchi

UKOCHA: Nsajigwa atua Yanga

>Beki wa zamani wa Yanga, Shadrack Nsajigwa ameanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi cha vijana cha timu hiyo (Yanga B), huku akiahidi kuwaandaa wachezaji kwa weledi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani