Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaseja aondoka Dar, aenda kusomea ukocha

Juma Kaseja. Na Ibrahim Mussa
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja ameonyesha kuanza mapema kujiandaa na maisha ya kuwa kocha siku za baadaye atakapostaafu baada ya kuamua kwenda kusomea kozi ya ukocha mkoani Morogoro.
Kaseja ambaye amekuwa hana uhakika wa namba kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga, yupo kwenye kozi hiyo ya siku 10 ilitoratibiwa na Chama cha Makocha Mkoa wa Morogoro (Tafca-Morogoro). Akizungumza na Championi Jumatano,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kaseja ahitimu mafunzo ya ukocha

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja amehitimu mafunzo ya awali ya ualimu wa mpira wa miguu na kupata alama ya daraja A katika mafunzo yaliyoanza Mei 5 mwaka huu na kumalizika jana katika Manispaa ya Morogoro.

 

11 years ago

GPL

Brandts aondoka Dar kimyakimya

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Ernie Brandts ameondoka jijini Dar es Salaam kurejea kwao Eindhoven nchini Uholanzi kuendelea na maisha.
Lakini Brandts ameondoka kimyakimya huku akionekana kufanya kila jambo siri kubwa kuhusiana na kuondoka kwake. Brandts alitimuliwa kuinoa Yanga baada ya timu hiyo kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe.
Championi Jumatano… ...

 

11 years ago

GPL

MAMA ATELEKEZA WATOTO JIJINI DAR, AENDA KUOMBA

Watoto walioachwa na mama yao wakiwa wamelaa eneo la makutano ya barabara ya Zaramo na Jamhuri jijini Dar. KATIKA hali ya kusikitisha kamera yetu mchana huu imenasa picha za watoto waliosemekana kuwa…

 

11 years ago

Mwananchi

58 wafuzu mafunzo ya ukocha

Waamuzi 58 wametunikiwa vyeti vya ukocha na uamuzi Daraja C baada ya kuhitimu mafunzo ya ukocha na uamuzi wa netiboli mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

10 years ago

Vijimambo

Kibadeni astaafu rasmi ukocha

Kocha wa zamani wa Simba na Ashanti United, zote za jijini Dar es Salaam, Abdallah 'King' Kibadeni, ametangaza kuachana rasmi na kazi hiyo na kuamua kuanzisha kituo cha kulelea vijana wenye vipaji vya michezo 'spoti akademi'.

Akizungumza na NIPASHE jijini Dar es Salaam jana, Kibadeni mwenye rekodi pekee ya kufunga mabao matatu katika mechi moja (hat-trick) inayohusisha watani wa jadi, Simba na Yanga, alisema amechukua uamuzi wa kuachana na ukocha ili kuepuka malumbano na kuzongwa na viongozi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Eto’o avuliwa majukumu ya ukocha

Nahodha wa zamani wa Cameroon Eto'o amepokonywa majukumu ya ukufunzi katika klabu ya Antalyaspor ya Uturuki.

 

10 years ago

Mwananchi

Matola ajiuzulu ukocha Simba

Klabu ya Simba imethibitisha kuachana na kocha msaidizi wa timu hiyo, Seleman Matola na kueleza kumweka hadharani mrithi wake atakayesaidiana na kocha mkuu, Goran Kopunovic wakati wowote kuanzia sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

UKOCHA: Nsajigwa atua Yanga

>Beki wa zamani wa Yanga, Shadrack Nsajigwa ameanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi cha vijana cha timu hiyo (Yanga B), huku akiahidi kuwaandaa wachezaji kwa weledi.

 

9 years ago

Habarileo

Wahitimu ukocha wapewa somo

WAHITIMU wa mafunzo ya ualimu wa mpira wa miguu wametakiwa kutenga muda wa kufundisha vijana pasipo na kutegemea kupatiwa malipo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani