Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sam Allardyce awa kocha mpya wa Sunderland

Klabu ya Sunderland nchini Uingereza imemteua Sam Allardyce kuwa kocha mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa kipindi cha miaka miwili. Aliyekuwa kocha Dick Advocaate alijiuzulu kuifundisha klabu hiyo na kuiacha ikiwa haijashinda mechi yoyote kati ya mechi nane ilizocheza. Timu hiyo ipo katika nafasi ya pili kutoka mwisho wa jedwali la ligi ya Uingereza. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Sam Allardyce kuifunza Sunderland

Klabu ya Sunderland nchini Uingereza imemteua Sam Allardyce kama mkufunzi wa timu hiyo kwa kipindi cha miaka miwili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nitaondoka tu West Ham:Sam Allardyce

Kocha wa timu ya soka ya West Ham United ya England Sam Allardyce amefichua mpango wake wa kuondoka klabuni hapo hata kama timu hiyo itampa mkataba mpya.

 

9 years ago

Mtanzania

Eto’o awa kocha mpya Antalyaspor

etooISTANBUL, UTURUKI

NYOTA wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o, ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa klabu ya Antalyaspor ambayo inashiriki ligi ya nchini Uturuki.

Nyota huyo alijiunga na klabu hiyo Juni, mwaka huu, akiwa kama mchezaji wa kawaida, lakini kwa sasa amepewa nafasi ya kuwa kocha mkuu wa muda akichukua nafasi ya kocha Yusuf Simsek.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34, ambaye aliwahi kukipiga katika klabu ya Chelsea, alisaini mkataba wa miaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dick Advocaat ateuliwa kocha Sunderland

Sunderland imemuajiri Dick Advocaat kama mkufunzi mkuu wa timu hiyo hadi mwisho wa msimu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyambui awa kocha wa riadha - Brunei

Mshindi wa zamani wa medali ya fedha ya michuano ya Olimpiki, Suleiman Nyambui amepata kazi ya kuwa kocha mkuu wa Brunei.

 

11 years ago

GPL

Milovan awa kocha wa timu ya taifa

Kocha wa zamani wa Simba, Milovan Cirkovic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa zamani wa Simba, Milovan Cirkovic ameula baada ya kupata ajira mpya ya kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Myanmar. Juzi kulikuwa na sherehe maalum iliyofanywa na Shirikisho la Soka la Myanmar (MFF) kuwakaribisha makocha wote na benchi zima la ufundi akiwemo Milovan. Akizungumza na Championi Ijumaa, kutoka Myanmar Milovan amesema ameingia mkataba wa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond iliyoimbwa na Sam Smith — ‘Writing’s On The Wall’

Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’ imetoka. Ni wimbo ulioimbwa na Muingereza, Sam Smith – “Writing’s On the Wall”. Smith ameingia kwenye orodha ya wanamuziki waliowahi kutumika katika kutengeneza soundtrack kwenye filamu zilizopita za James Bond. Wengine ni Adele, Tina Turner, Paul McCartney, na Shirley Bassey. Spectre inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye majukmba ya […]

 

10 years ago

Habarileo

Profesa Assad awa CAG mpya

Profesa Mussa Juma AssadRAIS Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani