Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nitaondoka tu West Ham:Sam Allardyce

Kocha wa timu ya soka ya West Ham United ya England Sam Allardyce amefichua mpango wake wa kuondoka klabuni hapo hata kama timu hiyo itampa mkataba mpya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Sam Allardyce kuifunza Sunderland

Klabu ya Sunderland nchini Uingereza imemteua Sam Allardyce kama mkufunzi wa timu hiyo kwa kipindi cha miaka miwili.

 

9 years ago

Bongo5

Sam Allardyce awa kocha mpya wa Sunderland

Klabu ya Sunderland nchini Uingereza imemteua Sam Allardyce kuwa kocha mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa kipindi cha miaka miwili. Aliyekuwa kocha Dick Advocaate alijiuzulu kuifundisha klabu hiyo na kuiacha ikiwa haijashinda mechi yoyote kati ya mechi nane ilizocheza. Timu hiyo ipo katika nafasi ya pili kutoka mwisho wa jedwali la ligi ya Uingereza. […]

 

10 years ago

BBC

West Bromwich Albion 4-0 West Ham

Record buy Brown Ideye of Nigeria strikes twice as West Brom ease past 10-man West Ham to reach the FA Cup quarter-finals.

 

10 years ago

BBCSwahili

West Ham 3-1 Liverpool

Liverpool iliambulia kichapo chake cha tatu msimu huu ilipolazwa na West Ham

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal vs West Ham

Mechi tatu za ligi kuu ya premia zimeratibiwa kuchezwa leo.Tunakuletea matangazo ya moja kwa moja kutoka Emirates West ham ikichuana na Arsenal

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea kuchuana na West Ham

Harakati za Chelsea kuendelea kudhibiti uongozi katika ligi ya Uingereza itaendelea hii leo katika mechi za siku ya Boxing Dei

 

11 years ago

BBC

West Ham United 1-2 Liverpool

Ivorian defender Guy Demel's first ever West Ham goal was not enough as they lost 2-1 to visitors Liverpool.

 

9 years ago

BBC

Watford 2-0 West Ham United

Nigeria striker Odion Ighalo continues his good form with two goals for Watford as they beat West Ham to move up to ninth.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani