Mahakama: Mtuhumiwa kesi ya twiga akamatwe
Moshi. Mahakama imetoa amri ya kukamatwa raia wa Pakistan, Kamran Ahmed ambaye ni mshtakiwa namba moja katika kesi ya utoroshwaji wa twiga wanne kwenda Uarabuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Mtuhumiwa kesi ya twiga aichezea mahakama
UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya kutorosha wanyama hai wakiwamo twiga wanne kwenda Jiji la Doha nchini Qatar inayowakabiliwa washitakiwa wanne akiwamo raia wa Pakistan, Kamran Ahmed, umeiomba mahakama kutoa...
10 years ago
Habarileo02 Apr
Korti yaamuru mtuhumiwa Escrow akamatwe
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4, kwa kuwa hajafika mahakamani.
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Mahakama yataka Rais wa Sudan akamatwe
JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI
MAHAKAMA Kuu yaAfrika Kusini imetoa amri ya muda ya kumzuia Rais wa Sudan, Omar al Bashir anayehudhuria kikao kilichoanza jana cha viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) kutoondoka nchini humo.
Mahakama hiyo imemuagiza al-Bashir abakie hadi leo wakati itakaposikiliza kesi inayoitaka iiamrishe Serikali ya Afrika Kusini kumkamata kiongozi huyo i akajibu mashitaka yanayomkabili katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) ya mjini Hague, Uholanzi.
Mapema jana,...
5 years ago
Michuzi
Mahakama yaamuru Zitto akamatwe, hukumu yake mwezi ujao
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa hati ya kukamatwa kwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kupitia tiketi ya Chama cha ACT- Wazalendo, baada ya kushindwa kufika mahakamani hapo bila ya kutoa taarifa yoyote.
Amri hiyo, imetolewa leo Aprili 29,2020 na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kupangiwa tarehe ya hukumu, kufuatia upande wa mashtaka kufunga kesi yao na mshtakiwa Zitto kumaliza kujitetea.
Aidha mahakama imesema,...
9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...
10 years ago
Vijimambo
MTUHUMIWA ALIYEJARIBU KUTOROKA MAHAKAMA YA KISUTU APIGWA RISASI

Maofisa wa Polisi na Magereza wakiangalia mwili wa mtu aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya dawa za kulevya na kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam saa 2:00 asubuhi ya leo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinapasha kuwa mwili wa marehemu huyo ambaye bado jina lake halijatambulika umepelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Muhimbili. Picha kwa hisani ya Father Kidevu.
10 years ago
CloudsFM12 Feb
Kesi ya mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi yaendelea Iringa
MAHAKAMA kuu kanda ya Iringa inaendelea na vikao vyake huku leo kesi ya ya mauwaji ya mwanahabari mkoani Iringa Daud Mwangosi inayomkabilia mtuhumiwa wa askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Iringa (FFU) Pasificus Cleophace Simon mwenye namba G 2573 inataraji kuanza kusikilizwa kwa upande wa mashahidi kuanza kutoa ushahidi wao.
Kesi hiyo inayoanza leo inaanza kusikilizwa leo Feb 12 -18 mwaka huu huenda hukumu ya kesi hiyo kutolewa siku ya tarehe 18 mara baada ya mashahidi kumaliza...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
DPP apinga mtuhumiwa kesi ya Mwamunyange kupewa dhamana
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Mtuhumiwa kesi kumng’ata yaya atinga kortini