Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Korti yaamuru mtuhumiwa Escrow akamatwe

Rugonzibwa MujunangomaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4, kwa kuwa hajafika mahakamani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Mahakama yaamuru Zitto akamatwe, hukumu yake mwezi ujao

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV.

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa hati ya kukamatwa kwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kupitia tiketi ya Chama cha ACT- Wazalendo, baada ya kushindwa kufika mahakamani hapo  bila ya kutoa taarifa yoyote.

Amri hiyo, imetolewa leo Aprili 29,2020 na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kupangiwa tarehe ya hukumu, kufuatia upande wa mashtaka kufunga kesi yao na mshtakiwa Zitto kumaliza kujitetea.

Aidha mahakama imesema,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Korti yaamuru maiti kufukuliwa

MGOGORO wa kugombea mwili wa marehemu, Stephen Assei (52) umechukua sura mpya baada ya askari polisi wenye silaha za moto wakiwemo askari kanzu kusimamia zoezi la ufukuaji wa kaburi na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Korti yaamuru wamiliki IPTL wasibughudhiwe

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeiamuru Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong  (SCBHK) na Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (Tanesco) kuacha kuingilia utulivu, umiliki, usimamizi na utawala wa mitambo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Korti yaamuru aliyebadili jinsi apewe cheti kipya

Mahakama Kuu ya Kenya imeliamuru Baraza Kuu la Mitihani nchini humo (KNEC), libadilishe jina kwenye cheti cha mlalamikaji wa kiume ambaye amekuwa akipigania atambuliwe kuwa mwanamke.

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama: Mtuhumiwa kesi ya twiga akamatwe

Moshi. Mahakama imetoa amri ya kukamatwa raia wa Pakistan, Kamran Ahmed ambaye ni mshtakiwa namba moja katika kesi ya utoroshwaji wa twiga wanne kwenda Uarabuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa Escrow abadilishiwa mashtaka

Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (Takukuru) imembadilishia hati ya mashtaka Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kupokea rushwa ya Sh 323 milioni toka kwa James Rugemalira.

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa Escrow apata dhamana

Kyabukoba MutabingwaMENEJA Misahama ya Kodi TRA, Kyabukoba Mutabingwa anayekabiliwa na kesi ya kupokea rushwa ya Sh bilioni 2 ikiwa ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow amepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa fedha za Escrow ajichanganya

Dk James DiuMKURUGENZI Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Dk James Diu, amejichanganya mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kuhusu matumizi halisi ya fedha alizozipokea kutoka kwa James Rugemalira ambazo ni Sh milioni 80.8.

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa sakata la Escrow kizimbani leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo inatarajia kumsomea maelezo ya awali Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani