Mtuhumiwa wa Escrow abadilishiwa mashtaka
Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (Takukuru) imembadilishia hati ya mashtaka Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kupokea rushwa ya Sh 323 milioni toka kwa James Rugemalira.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Sep
Anayedaiwa kuingiza makomando abadilishiwa mashtaka
WATU wanne akiwemo mfanyabiashara Ally Ally (25) aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kusafirisha na kuhifadhi makomando wa Nepal nchini, wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa na mashitaka ya usafirishaji wa binadamu uliokithiri.
10 years ago
Habarileo12 Feb
Mwanasheria wa Tanesco abadilishiwa kesi Escrow
MWANASHERIA Mwandamizi wa Tanesco, Steven Urassa amefutiwa mashitaka ya kupokea sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kusomewa mashitaka ya kupokea rushwa ya Sh milioni 161.7.
10 years ago
Vijimambo10 Jan
MTUHUMIWA WA MAUAJI ATOROKA CHINI YA ULINZI HOSPITALINI..ASKALI MAGEREZA ALIYEKUWA ANAMLINDA KUFUNGULIWA MASHTAKA
![](http://habarileo.co.tz/images/salim-marwa.jpg)
10 years ago
Habarileo10 Mar
Mtuhumiwa fedha za Escrow ajichanganya
MKURUGENZI Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Dk James Diu, amejichanganya mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kuhusu matumizi halisi ya fedha alizozipokea kutoka kwa James Rugemalira ambazo ni Sh milioni 80.8.
10 years ago
Habarileo21 Jan
Mtuhumiwa wa Escrow apata dhamana
MENEJA Misahama ya Kodi TRA, Kyabukoba Mutabingwa anayekabiliwa na kesi ya kupokea rushwa ya Sh bilioni 2 ikiwa ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow amepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
10 years ago
Habarileo02 Apr
Korti yaamuru mtuhumiwa Escrow akamatwe
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4, kwa kuwa hajafika mahakamani.
10 years ago
Habarileo10 Feb
Mtuhumiwa sakata la Escrow kizimbani leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo inatarajia kumsomea maelezo ya awali Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Mmiliki jengo lililoanguka Dar abadilishiwa mashitaka
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amemfutia kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili mmiliki wa jengo lililoanguka katika Mtaa wa Indra Gandhi mwenye asili ya Kiasia, Raza Hussein Raza...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Mashtaka
JINA la kitabu kinachohakikiwa hapa ni Mashtaka na kimetungwa na Elieshi Lema. Mchapishaji wa kitabu hiki ni E&D Vision Publishing, Dar es Salaam, na kitatoka hivi karibuni. Anayekihakiki sasa hivi...