Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanasheria wa Tanesco abadilishiwa kesi Escrow

Steven UrassaMWANASHERIA Mwandamizi wa Tanesco, Steven Urassa amefutiwa mashitaka ya kupokea sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kusomewa mashitaka ya kupokea rushwa ya Sh milioni 161.7.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Escrow ilimfukuzisha kazi mwanasheria Tanesco

Mwanasheria Mkuu wa Tanesco, Godwin Ngwilimi ametajwa kuwa kati ya watu walioathirika kutokana na sakata la fedha za escrow, ikiwa ni siku chache baada ya kutoka nje ya nchi kuchunguza uhalali wa kampuni ya PAP kumiliki IPTL.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa Escrow abadilishiwa mashtaka

Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (Takukuru) imembadilishia hati ya mashtaka Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kupokea rushwa ya Sh 323 milioni toka kwa James Rugemalira.

 

10 years ago

Mwananchi

Escrow yamng’oa Mwanasheria Mkuu Jaji Werema

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia jana kutokana na kuhusishwa na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

TheCitizen

Sacked Tanesco lawyer speaks out on escrow

>Former Tanesco lawyer Godwin Ngwilimi has opened up about his role in the investigation into the Tegeta Escrow account, saying “time will ultimately prove me truthful.”

 

10 years ago

Habarileo

Waomba mahakama ikatae ushahidi kesi ya bosi Tanesco

UPANDE wa Utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando umeiomba mahakama isipokee nakala ya ripoti ya kamati ya tathmini ya zabuni ya Santa Clara Supplies kama sehemu ya ushahidi wa upande wa jamhuri.

 

10 years ago

Vijimambo

BARUA AMBAYO INADAIWA KATIBU MKUU WA NISHATI NA MADINI ALILAZIMISHWA KUANDIKA NA MWANASHERIA MKUU WEREMA ILI KUCHOTA PESA HUKO ESCROW





Na ukitaka kujuwa nini kimeandikwa kwenye magazeti ya ulaya kuhusu issue hii fungua link hapo chini

http://www.theguardian.com/global-development/2014/oct/13/uk-and-international-donors-suspend-tanzania-aid-after-corruption-claims

 

11 years ago

Michuzi

Naibu mwanasheria mkuu aomba mahakama kuu itupilie mbali kesi ya kikatiba dhidi ya waziri mkuu

NAIBU Mwanasheria Mkuu, Mhe
George Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kwa mujibu wa katiba mamlaka ya mahakama kuingilia mwenendo wa bunge yameondolewa. 
 Pia, Mhe Masaju amedai kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi bunge halina mamlaka ya kuingilia mwenendo wa mahakama na kwamba kesi iliyopo mahakamani haina mashiko ya kisheria mahakama...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...

 

10 years ago

Habarileo

Waomba Mahakama kusimamisha kesi ya Escrow

UPANDE wa utetezi katika kesi ya kupokea rushwa ya Sh milioni 323.4 inayomkabili Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma umeiomba Mahakama kusimamisha kesi hadi itakaposikiliza ombi lao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani