Mtuhumiwa fedha za Escrow ajichanganya
MKURUGENZI Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Dk James Diu, amejichanganya mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kuhusu matumizi halisi ya fedha alizozipokea kutoka kwa James Rugemalira ambazo ni Sh milioni 80.8.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Jan
Mtuhumiwa wa Escrow apata dhamana
MENEJA Misahama ya Kodi TRA, Kyabukoba Mutabingwa anayekabiliwa na kesi ya kupokea rushwa ya Sh bilioni 2 ikiwa ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow amepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Mtuhumiwa wa Escrow abadilishiwa mashtaka
10 years ago
Habarileo02 Apr
Korti yaamuru mtuhumiwa Escrow akamatwe
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4, kwa kuwa hajafika mahakamani.
10 years ago
Habarileo10 Feb
Mtuhumiwa sakata la Escrow kizimbani leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo inatarajia kumsomea maelezo ya awali Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Polisi wadaiwa fedha za mtuhumiwa
10 years ago
Mwananchi23 Dec
JK: Fedha za Tegeta Escrow ni za IPTL
10 years ago
Habarileo14 Dec
Usahihi wa fedha akaunti ya Escrow
WAKATI kukiwa na taarifa zinazochapishwa na vyombo vya habari kuwa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa Benki Kuu (BoT), kwa mujibu wa makubaliano yaliyofanyika Julai 5, 2006, zilikuwa Sh bilioni 306.6, kabla ya kutolewa kwa fedha hizo mwaka 2013, taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imethibitisha sio kweli.
10 years ago
Habarileo28 Nov
Muhongo: Fedha za Escrow si za umma
SERIKALI imesema kuwa fedha zilizokuwamo katika akaunti ya Tegeta Escrow ya wanahisa wa Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), hazikuwa za umma, na ilichukua tahadhari ya kutosha dhidi ya madai mengine yanayoweza kujitokeza kabla ya kutolewa kwa fedha katika akaunti hiyo iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Fedha za Escrow ni mali ya umma
KWA mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika ‘Tegeta Escrow...