MTUHUMIWA WA MAUAJI ATOROKA CHINI YA ULINZI HOSPITALINI..ASKALI MAGEREZA ALIYEKUWA ANAMLINDA KUFUNGULIWA MASHTAKA
MSHITAKIWA wa kwanza, Salim Marwa katika kesi ya mauaji ya raia wa Ghana, Joseph Opong ametoroka chini ya uangalizi akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam. Mkuu wa Magereza mkoa wa Dar es Salaam, Joel Bukuku alikiri kutokea kwa tukio hilo Jumatatu usiku majira ya saa 6:00 huku akiwa na askari magereza wawili. Alisema mshtakiwa huyo alikuwa akipatiwa matibabu hospitalini hapo kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji.Lakini hakufafanua zaidi kuhusu upasuaji wa nini wala alilazwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Jan
Mtuhumiwa mauaji atoroka chini ya ulinzi hospitalini
MSHITAKIWA wa kwanza, Salim Marwa katika kesi ya mauaji ya raia wa Ghana, Joseph Opong ametoroka chini ya uangalizi akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Mtuhumiwa wa Escrow abadilishiwa mashtaka
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA MINJA AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA AFISA MNADHIMU MKUU MSAIDIZI WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DARES SALAAM
10 years ago
Michuzi10 Jun
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IpZmrjUsHEY/VC2PXu4S-hI/AAAAAAAGnWk/aijyoZgP5TQ/s72-c/image.jpeg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AFUNGA RASMI MAFUNZO YA ULINZI WA AMANI KWA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA SADC, MKOANI KILIMANJARO
![](http://4.bp.blogspot.com/-IpZmrjUsHEY/VC2PXu4S-hI/AAAAAAAGnWk/aijyoZgP5TQ/s1600/image.jpeg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Irym2LSo0jY/VC15aJkNk3I/AAAAAAADGkk/QTnF4EXo3RY/s72-c/image.jpeg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI TANZANIA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA ULINZI WA AMANI KWA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA SADC, MKOANI KILIMANJARO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Irym2LSo0jY/VC15aJkNk3I/AAAAAAADGkk/QTnF4EXo3RY/s1600/image.jpeg)
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Aliyekuwa rais wa IAAF afunguliwa mashtaka
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Mtuhumiwa wa mauaji aachiwa
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Afungua mashtaka ya filamu ya mauaji ya John F Kennedy