Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtuhumiwa mauaji atoroka chini ya ulinzi hospitalini

Salim MarwaMSHITAKIWA wa kwanza, Salim Marwa katika kesi ya mauaji ya raia wa Ghana, Joseph Opong ametoroka chini ya uangalizi akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MTUHUMIWA WA MAUAJI ATOROKA CHINI YA ULINZI HOSPITALINI..ASKALI MAGEREZA ALIYEKUWA ANAMLINDA KUFUNGULIWA MASHTAKA

MSHITAKIWA wa kwanza, Salim Marwa katika kesi ya mauaji ya raia wa Ghana, Joseph Opong ametoroka chini ya uangalizi akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam. Mkuu wa Magereza mkoa wa Dar es Salaam, Joel Bukuku alikiri kutokea kwa tukio hilo Jumatatu usiku majira ya saa 6:00 huku akiwa na askari magereza wawili. Alisema mshtakiwa huyo alikuwa akipatiwa matibabu hospitalini hapo kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji.Lakini hakufafanua zaidi kuhusu upasuaji wa nini wala alilazwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa mauaji aachiwa

Baba mzazi wa mwanafunzi wa kidato cha tatu Sekondari ya Mwanza, Annastazia Magafu, Luckford, ambaye anadaiwa kumchoma moto mtoto wake na kumsababisha kifo ameachiwa huru ili kupisha uchunguzi wa kisayansi.

 

10 years ago

GPL

MTUHUMIWA KINARA WA MAUAJI YA POLISI

Makongoro Oging’ na Issa Mnaly, Mkuranga WAKATI jeshi la polisi nchini likiendelea kuwasaka watuhumiwa wa mauaji ya polisi na kupora silaha katika Kituo cha Stakishari, Ilala jijini Dar, Uwazi limefanikiwa kuipata picha ambayo inadaiwa ni ya mtuhumiwa kinara wa tukio hilo aliyetajwa kwa jina la Seleman Shaban Ulatule. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1GWYmRq ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtuhumiwa wa mauaji ya askari akamatwa

Ernest-Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu.

Na Mwandishi wetu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu amesema usiku wa kuamkia jana wamempata mtuhumiwa mmoja Wa ujambazi aliyedaiwa kuua askari Polisi wawili,kujeruhi 2 na kupora silaha mbalimbali katika kituo cha Polisi Bukombe.

Hayo aliyasema leo kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya mifugo uliofanyika katika mkoa huu mwanza.

IGP Mangu amesema wamefanikiwa kumpata mtuhumiwa mmoja ambaye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtuhumiwa wa mauaji ya Rwanda akamatwa

Marekani inasema kuwa mtu mmoja anayetuhumiwa kuhusika pakubwa katika mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994, amekamatwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtuhumiwa kinara mauaji ya polisi


Kinara, Selemani Shabani Ulatule.
Makongoro Oging’ na Issa Mnaly, Mkuranga,GPL
WAKATI jeshi la polisi nchini likiendelea kuwasaka watuhumiwa wa mauaji ya polisi na kupora silaha katika Kituo cha Stakishari, Ilala jijini Dar, Uwazi limefanikiwa kuipata picha ambayo inadaiwa ni ya mtuhumiwa kinara wa tukio hilo aliyetajwa kwa jina la Seleman Shaban Ulatule.
ENEO LA TUKIO
Mwishoni mwa wiki iliyopita, wanahabari wetu walifika katika Kijiji cha Mandikongo, Mkuranga, Pwani na wakazi wa maeneo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Mtuhumiwa wa ujambazi na mauaji auawa na wananchi

Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Lazaro Mambosasa
Mkazi wa kitongoji cha Nyahongo kilichoko kijiji cha Nyarwana wilayani Tarime mkoani Mara aliyekuwa akisakwa na polisi kwa tuhuma za ujambazi na mauaji ameuawa na wananchi katika shambulizi ambalo lililojeruhi wanakijiji watatu.

Wambura Kihongwe (40) ameuawa na wananchi kwa kukatwa mapanga kichwani na sehemu mbalimbali za mwili huku naye akiwajeruhi watu watatu waliojaribu kumkamata ili afikishwe kwenye vyombo vya sheria.

Kamanda wa Polisi Tarime...

 

5 years ago

Michuzi

KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI.


Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia FESTO MADUHU [28 -30] Mbeba Mizigo @ Kuli na Mkazi wa Mtaa wa Benki Kabwe Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake na kisha yeye mwenyewe kujaribu kujiua kwa kisu.
Ni kwamba mnamo tarehe 22/03/2020majira ya saa 09:00 Asubuhi huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “NEGERO”iliyopo Mtaa wa Ilolo, Kata ya Ruanda, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya katika chumba namba 111 @ Victoria, Mwanamke mmoja aitwaye JESCA MICHAEL @ KUNGULU [28] Mhudumu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa mauaji aomba kujua hatima yao

Mshtakiwa wa mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi, Longishu Losingo ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ieleze lilipo jalada la kesi yao na hatima yake ni nini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani