Mtuhumiwa wa mauaji ya Rwanda akamatwa
Marekani inasema kuwa mtu mmoja anayetuhumiwa kuhusika pakubwa katika mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994, amekamatwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Sep
Mtuhumiwa wa mauaji ya askari akamatwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu.
Na Mwandishi wetu
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu amesema usiku wa kuamkia jana wamempata mtuhumiwa mmoja Wa ujambazi aliyedaiwa kuua askari Polisi wawili,kujeruhi 2 na kupora silaha mbalimbali katika kituo cha Polisi Bukombe.
Hayo aliyasema leo kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya mifugo uliofanyika katika mkoa huu mwanza.
IGP Mangu amesema wamefanikiwa kumpata mtuhumiwa mmoja ambaye...
9 years ago
MichuziMTUHUMIWA WA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA MKOANI ARUSHA AKAMATWA
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi, Naibu kamishna wa jeshi la polisi mkoani hapa Liberatus Sabas alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya asubuhi katika eneo la TRA House jijini Arusha.
Sabas ...
11 years ago
Michuzi09 Feb
Mtuhumiwa aliyesakwa na Polisi kwa mauaji ya watu wanane Tarime akamatwa Tanga
Jambazi kuu anayetuhumiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na unyanganyi wa kutumia silaha yaliyo tokea Wilayani Tarime kuanzia 26 hadi 28.01.2014 amekamatwa na jeshi la polisi jioni ya Tarehe 06.02.2014 mkoani Tanga.
Akisimulia kukamatwa kwa jambazi huyo Kamanda wa mkoa wa kipolisi Tarime/Rorya Justus Kamugisha amesema kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa jioni ya Tarehe 06.02.2014 majira ya saa 1.30 na katika mahojiano ya awali ya jeshi la polisi mtuhumiwa huyo alikiri kuhusika na matukio ya...
5 years ago
CCM Blog16 May
MSHUKIWA MKUU WA MAUAJI YA KIMARI RWANDA AKAMATWA
Haki miliki ya pichaUS STATE DEPARTMENTFélicien Kabuga, miongoni mwa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, amekamatwa karibu na mji wa Paris, wizara ya sheria ya Ufaransa imetangaza.Bwana Kabuga ameshikiliwa na polisi mjini Asnières-Sur-Seine, eneo ambalo alikuwa anaishi kwa utambulisho wa uongo.Mahakama ya kimataifa ya mauji ya kimbari yaliyotokea Rwanda yamemshtaki bwana Kabuga mwenye umri wa miaka 84-kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.Anadaiwa kuwa mfadhili mkuu wa wahutu ambao waliuwa...
5 years ago
BBCSwahili16 May
Félicien Kabuga: Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kimbari Rwanda akamatwa
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Mtuhumiwa wa ugaidi akamatwa Uingereza
10 years ago
Vijimambo24 Dec
Mtuhumiwa wa ujangili akamatwa Tanzania
Polisi wa kimataifa , interpol tawi la Tanzania wamemkamata mfanya biashara maarufu raia wa Kenya kwa tuhuma za kujihusisha na ujangili na uhalifu uliovuka mipaka ,hususan mauaji ya tembo .
mtuhumiwa huyo Mohamed Ally Feisal Amekamatwa mjini Dar-Es-Salaam baada ya kusakwa kwa kipindi kirefu kwa makosa hayo ya kimataifa kutoka Dar Regina Mziwanda anaarifu zaidi.
Akithibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo Bwana Diwani Athumani kutoka kamisheni ya Kurugenzi ya makosa ya jinai...
10 years ago
StarTV23 Dec
Mtuhumiwa wa ujangili wa pembe za Ndovu akamatwa.
Polisi wa kimataifa , interpol tawi la Tanzania wamemkamata mfanya biashara maarufu raia wa Kenya kwa tuhuma za kujihusisha na ujangili na uhalifu uliovuka mipaka ,hususan mauaji ya tembo .
mtuhumiwa huyo Mohamed Ally Feisal Amekamatwa mjini Dar-Es-Salaam baada ya kusakwa kwa kipindi kirefu kwa makosa hayo ya kimataifa kutoka Dar Regina Mziwanda anaarifu zaidi.
Akitbibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo Bwana Diwani Athumani kutoka kamisheni ya Kurugenzi ya makos aya jinai amesema mtuhumiwa...
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Mtuhumiwa wa mauaji aachiwa