Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya Mbasha Yakwama tena


Kesi ya ubakaji inayomkabili mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye ni mume wa Flora Mbasha kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imesogezwa tena mbele kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha mashtaka anayeisimamia kesi hiyo. Kesi hiyo ya Emmanuel Mbasha ilitakiwa kuendelea baada ya mashahidi kuwepo eneo la tukio kabla ya hakimu mkazi Flora Mjaya kuairisha mpaka Mei 29, 2015 kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha mashtaka Nassoro Katuga.
Mashahidi wawili wameshatoa ushahidi huku mmojawapo akiwa ...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Sheikh Ponda yakwama tena

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro kwa mara nyingine jana, imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa, kutokana na jadala la kesi hiyo, ambalo liko Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutorejeshwa mahakamani hapo.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Ponda yakwama tena kusikilizwa

Shehe Ponda Issa PondaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro jana ilishindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda kutokana na mgongano wa kiutawala na kukosekana kwa nakala ya hukumu ya rufaa iliyompa ushindi Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya kutorosha wanyama hai yakwama tena

KESI ya utoroshwaji wa wanyama hai zaidi ya 100 kwenda Doha, Qatar, inayowakabili washtakiwa wanne katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi, imekwama tena baada ya mshtakiwa wa kwanza, Kamran Ahmed kutofika mahakamani hapo bila taarifa.

 

11 years ago

CloudsFM

KESI YA MBASHA YASOMWA TENA LEO MAHAKAMANI

Mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel Mbasha leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji. Katika kesi hiyo inayoendeshwa na Hakimu Wilbert Luago,amelazimika kuhairisha kesi hiyo kwa muda wa nusu saa kwa hoja aliyoitoa Mbasha kwamba ana wakili wa kumtetea lakini alishindwa kufika kutokana na matatizo ya usafiri.
Kauli hiyo ya Mbasha ilimfanya Hakimu Luago kuhoji kama kweli alikuwa na nia ya...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Shehe Ponda yakwama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro leo imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda. Kesi hiyo haikuanza kusikilizwa, kutokana na jalada halisi kutorejeshwa kwenye mahakama hiyo kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Maranda yakwama kusikilizwa Muhimbili

 Rajab MarandaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilishindwa kuhamia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kusikiliza utetezi wa kada wa CCM Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA).

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya kusafirisha twiga kwenye ndege yakwama

UPANDE wa mashitaka katika kesi ya usafirishaji wa wanyama hai aina ya twiga kwenda Doha, Qatar wameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kilimanjaro, kutoa hati ya kukamata mshitakiwa wa kwanza raia wa Pakstani, Kamran Ahmed ambaye hakufika mahakamani.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya IPTL kupinga maamuzi ya Bunge yakwama

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbeya yakwama tena kufikia BRN katika elimu

Mkoa wa Mbeya kwa mara ya pili umeshindwa kufikia asilimia 60 ya ufaulu wa darasa la saba iliyopangwa na Serikali katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) baada ya kufaulisha kwa asilimia 46.4 wanafunzi wa darasa la saba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani