Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP akabidhiwa ripoti ubadhirifu wa tumbaku

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amekabidhiwa taarifa ya ukaguzi wa hesabu za vyama vya msingi vya ushirika mkoani hapa iliyofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UBADHIRIFU KATIKA TASINIA NDOGO YA TUMBAKU WAZIRI CHIZA AKABIDHI RIPOTI YA CAG

Na. Job Mika - WKCU
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza (Mb) hivi karibuni alimkabidhi, Inspecta Jenerali wa Jeshi la Polisi (IGP) Ripoti ya ukaguzi katika Tasnia ya tumbaku, ili kubaini, ubadhirifu na waliosababisha ubadhirifu huo uliopelekea wakulima wa tumbaku kutoa malalamiko yao kwa serikali kutokana na hasara waliopata katika msimu wa kilimo wa 2012/2013.
Tuhuma za ubadhirifu ndani ya Tasnia ya tumbaku ziliwalenga Chama Kikuu cha Ushirika cha WETCU, wakandarasi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ripoti yaonyesha ubadhirifu wa fedha A Kusini

Katika ripoti yake ya hivi karibuni, mkaguzi mkuu Kimi Makwetu alisema taifa la Afrika Kusini lilipoteza zaidi ya dola milioni 65 katika kipindi cha makadirio ya pesa za uma cha mwaka 2014-2015

 

10 years ago

Habarileo

Zitto akabidhiwa ripoti ya Escrow

RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow, imeanza kufanyiwa kazi na Bunge na ndani ya siku nane zijazo, umma utajua ukweli wake. Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai alikabidhi ripoti hiyo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto, jana bungeni, na kamati imeanza kazi mara moja. Kwa mujibu wa Ndugai, taarifa hiyo ya CAG ina maoni kwa kila hadidu za rejea kama chombo hicho kilipoagiza wakati...

 

10 years ago

Habarileo

Mwakyembe akabidhiwa ripoti ya ‘madudu’ TRL

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeKAMATI ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe imekabidhi ripoti ya uchunguzi iliyofanya huku ikitoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa ili kampuni hiyo irudi katika hali yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais akabidhiwa ripoti ya Operesheni Tokomeza Ujangili

Tume iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete Mei Mosi mwaka jana kuchunguza vitendo vilivyotokana na uendeshaji wa Operesheni ya Tokomeza Ujangili ambayo iliwang’oa mawaziri wanne, imemaliza kazi jana na kukabidhi ripoti kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu, Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

RC PWANI AKABIDHIWA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KUTOKA KWA MAMA SALMA KIKWETE

VICTOR MASANGU, PWANI..

Mke wa Rais wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete ambaye pia alikuwa Mbunge wa kuteuliwa kupitia Mkoa wa Pwani na Lindi amesema ataendelea kushirikiana bega kwa bega na serikali katika miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo ile ya kimikakati pamoja na kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili wananchi.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa halfa fupi ya kukabidhi taarifa mbili za utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha mapinduzi (CCM)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BAKWATA yachunguza ubadhirifu

KATIBU wa Baraza la Waislamu  Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Dodoma, Hussein Kuzungu, amesema baraza hilo linafanyia uchunguzi  tuhuma za ubadhirifu wa fedha kati ya sh milioni 30 na 40 zinazodaiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ubadhirifu wakimbiza wafadhili

Kamati ya Shirika la New Yearly Meeting la Marekani, imesitisha ufadhili wa wanafunzi wanaosoma elimu ya juu, vyuo mbalimbali na ujenzi wa nyumba za walimu shule ya msingi na sekondari Kisangura, wilayani Serengeti kutokana na jamii kutotoa ushirikiano.

 

9 years ago

Habarileo

15 kushitakiwa kwa ubadhirifu

JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakusudia kuwafikisha wakuu wa shule zake 15 kwenye vyombo vya sheria kutokana na madai ya ubadhirifu wa fedha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani