Ubadhirifu wakimbiza wafadhili
Kamati ya Shirika la New Yearly Meeting la Marekani, imesitisha ufadhili wa wanafunzi wanaosoma elimu ya juu, vyuo mbalimbali na ujenzi wa nyumba za walimu shule ya msingi na sekondari Kisangura, wilayani Serengeti kutokana na jamii kutotoa ushirikiano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Jun
Urasimu wakwamisha wakimbiza wawekezaji
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Godfrey Simbeye amesema kuwa urasimu mkubwa uliopo katika kusimamia masuala ya uwekekezaji umechangia kuwakimbiza wawekezaji.
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Msongamano Kigoma wakimbiza wajawazito
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Wakimbiza wa CAR wafika Cameroon
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Nyalandu: Tutaanika wafadhili ujangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kuanzia sasa serikali itawataja hadharani wanaofadhili ujangili bila kujali nyadhifa zao. Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa wiki mkoani hapa, alipokuwa akizungumza na...
11 years ago
BBCSwahili28 Feb
Wafadhili wakatiza misaada Uganda
9 years ago
Habarileo05 Sep
JK: Kuweni wazi na fedha za wafadhili
RAIS Jakaya Kikwete amezitaka asasi za kiraia kuweka wazi fedha wanazozipata kutoka kwa wafadhili na namna wanavyozitumia, na wanapotakiwa na Serikali kutoa taarifa hizo wasione kama wanaingiliwa utendaji wao.
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Mhagama awapigia magoti wafadhili
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, amewataka wafadhili nchini kuendelea kuisaidia serikali kuleta maendeleo kwa wananchi wake katika sekta mbalimbali ili kujenga taifa bora. Mhagama alitoa...
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Wafadhili warejesha msaada Uganda
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Waumini watakiwa kutotegemea wafadhili
WASHIRIKA katika makanisa mbalimbali hapa nchini wametakiwa kuongoza katika harambee zinazofanywa kwenye makanisa yao na kuacha kutegemea wafadhili pekee kuwafanyia mambo kama hayo ya maendeleo. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi...