Waumini watakiwa kutotegemea wafadhili
WASHIRIKA katika makanisa mbalimbali hapa nchini wametakiwa kuongoza katika harambee zinazofanywa kwenye makanisa yao na kuacha kutegemea wafadhili pekee kuwafanyia mambo kama hayo ya maendeleo. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWACHUNGAJI WATAKIWA KUWARUHUSU WAUMINI KUHUDHURIA TAMASHA LA PASAKA
Askofu wa Kanisa la Naioth Gospel ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste, David Mwasota akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya Tamasha la Pasaka. Kushoto ni Mwenyekiti wa tamasha hilo, Alex Msama. (Picha na Francis Dande)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5VKOG8MGfNs/XqbRujjvuwI/AAAAAAALoVo/2HFgjjnJOMQnVQNFl3AwSDPXssg9Nx0SgCLcBGAsYHQ/s72-c/BARAKOA.webp)
Njombe:Waumini wa kanisa la KKKT watakiwa kuvaa barakoa wanapoingia kanisani
![](https://1.bp.blogspot.com/-5VKOG8MGfNs/XqbRujjvuwI/AAAAAAALoVo/2HFgjjnJOMQnVQNFl3AwSDPXssg9Nx0SgCLcBGAsYHQ/s400/BARAKOA.webp)
Wito huo umetolewa na askofu wa kanisa hilo dayosisi ya kusini Dkt,George Fihavango mara baada ya ibada ya Jumapili katika kanisa la hilo usharika wa Mji Mwema mjini Makambako,ambapo amesema kuwa waumini wote wanatakiwa kuvaa barakoa wanapokuwa ibadani ili waweze kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Aidha ametoa wito kwa wakuu...
10 years ago
Mwananchi18 Oct
CCM sasa kutotegemea ruzuku
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Ubadhirifu wakimbiza wafadhili
11 years ago
BBCSwahili28 Feb
Wafadhili wakatiza misaada Uganda
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Wafadhili warejesha msaada Uganda
9 years ago
Habarileo05 Sep
JK: Kuweni wazi na fedha za wafadhili
RAIS Jakaya Kikwete amezitaka asasi za kiraia kuweka wazi fedha wanazozipata kutoka kwa wafadhili na namna wanavyozitumia, na wanapotakiwa na Serikali kutoa taarifa hizo wasione kama wanaingiliwa utendaji wao.
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Nyalandu: Tutaanika wafadhili ujangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kuanzia sasa serikali itawataja hadharani wanaofadhili ujangili bila kujali nyadhifa zao. Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa wiki mkoani hapa, alipokuwa akizungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Mhagama awapigia magoti wafadhili
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, amewataka wafadhili nchini kuendelea kuisaidia serikali kuleta maendeleo kwa wananchi wake katika sekta mbalimbali ili kujenga taifa bora. Mhagama alitoa...