Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM sasa kutotegemea ruzuku

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM katika kikao chao, wamekubaliana kuweka mikakati ya kujitegemea kifedha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wakulima sasa kupewa pembejeo kwa ruzuku

Mawakala waliokuwa wakitumia vocha kunywa pombe kitanziniNa Hamis Shimye
SERIKALI imesema inaanzisha utaratibu mpya wa utoaji wa ruzuku ya pembejeo kwa wakulima na kuachana na utaratibu wa vocha, ambao ulikuwa unafanyika kinyume na utaratibu.Imesema hali hiyo inasababishwa na ubadhirifu uliokuwa unafanywa na mawakala wasiokuwa waaminifu, ambao walikuwa wanatumia pesa kunywea pombe na malipo kufanya kwa kutumia vocha za pembejeo.Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Injinia Christopher Chiza,...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yataka wafugaji wapewe ruzuku

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kushinikiza serikalini ili jamii za wafugaji zianze kupewa ruzuku ya mifugo kama ilivyo kwa wakulima nchini wanaopewa na serikali ruzuku ya pembejeo za kilimo.

 

10 years ago

Habarileo

Ruzuku sasa kulipwa moja kwa moja shuleni

Kassim MajaliwaNAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa amesema Serikali inabadilisha mfumo wa kutoa ruzuku kwa shule za sekondari nchini, ambapo kuanzia sasa, fedha hizo zitakuwa zikienda moja kwa moja kwenye shule husika, badala ya kupitia kwa Wakurugenzi wa Halmashauri.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Kwanza CCM ing’oke, ruzuku baadaye

Wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi akisema suala la ruzuku na viti maalumu ni changamoto kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema hicho si kipaumbele.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waumini watakiwa kutotegemea wafadhili

WASHIRIKA katika makanisa mbalimbali hapa nchini wametakiwa kuongoza katika harambee zinazofanywa kwenye makanisa yao na kuacha kutegemea wafadhili pekee kuwafanyia mambo kama hayo ya maendeleo. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais CCM sasa hadharani

Sasa ni wazi; mmoja kati ya Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro au Balozi Amina Salum Ali atapeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kukamilisha kazi yao ya kupiga kura usiku mwingi wa kumkia leo.

 

9 years ago

GPL

LIPUMBA SASA RASMI CCM

Richard Manyota na Oscar Ndauka SIKU chache baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Haruna Lipumba kujiuzulu wadhifa wake huo, sasa mwanasiasa huyo mtaalamu wa mambo ya uchumi ametajwa waziwazi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi limedokezwa....Soma zaidi====>http://bit.ly/1UH6HT2

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM sasa njiapanda

>Wakati mkutano wa mwisho wa Bunge la 10 ukiendelea, baadhi ya wabunge CCM wamebaki njiapanda kimaamuzi iwapo waendelee kuikosoa Serikali ya chama chao na kujiweka mahali pazuri kwa wapigakura wao au waifagilie Serikali bila ya kujali hatima ya ubunge wao.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa sasa waitisha CCM

>Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema kampeni za mwaka huu zitakazofanywa na umoja huo, hazijawahi kuonekana tangu nchi ipate uhuru 1961.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani