Wakulima sasa kupewa pembejeo kwa ruzuku
![](http://2.bp.blogspot.com/-CJXuWT4pAwE/VA8YVkCGPrI/AAAAAAAABoU/BbrgrdpRGRo/s72-c/Deputy-minister-Christopher-K.-Chiza.jpg)
Mawakala waliokuwa wakitumia vocha kunywa pombe kitanziniNa Hamis Shimye
SERIKALI imesema inaanzisha utaratibu mpya wa utoaji wa ruzuku ya pembejeo kwa wakulima na kuachana na utaratibu wa vocha, ambao ulikuwa unafanyika kinyume na utaratibu.Imesema hali hiyo inasababishwa na ubadhirifu uliokuwa unafanywa na mawakala wasiokuwa waaminifu, ambao walikuwa wanatumia pesa kunywea pombe na malipo kufanya kwa kutumia vocha za pembejeo.Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Injinia Christopher Chiza,...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Wakulima Iringa kunufaika ruzuku ya pembejeo
WAKULIMA wa Mkoa wa Iringa wanatarajia kunufaika kupitia Benki ya Wananchi Mufindi (Mucoba Bank PLC), kwa kuanza kupewa mikopo ya pembejeo kwa vikundi vya wakulima kwa riba nafuu na kulipwa...
10 years ago
Habarileo17 Sep
Kinana: Ruzuku ya pembejeo haijanufaisha wakulima
SERIKALI imeitakiwa kufanya tathimini na kupitia upya mfumo wa ruzuku ya pembejeo katika kilimo, hasa kutokana na kuonesha kushindwa kufanya kazi vizuri katika maeneo mengi nchini.
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Wakulima nchini kunufaika na ruzuku ya vocha za pembejeo yenye thamani ya Bilioni 78!
Baaadhi ya wakulima wadogowadogo nchini wakiwa katika shughuli za kila siku za Kilimo kwa kutumia jembe la mkono. (Picha na Maktba yetu).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza kuanza kutoa vocha za pembejeo ambazo serikali imezipatia ruzuku.
Akizungumza na waandishi wa habari, jijini hapa, Msemaji wa Wizara hiyo, Richard Kasuga amebainisha kuwa, Serikali imetumia shilingi bilioni 78, kwa ajili ya kununua...
11 years ago
Habarileo11 May
Ruzuku ya pembejeo kwa vocha yafutwa
SERIKALI imetangaza rasmi kuondoa utaratibu wa ruzuku kwa kutumia vocha za pembejeo. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza alisema hayo jana katika hotuba ya makadirio ya matumizi ya fedha ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa mwaka 2014/2015.
9 years ago
MichuziSERIKALI YAANZA UTEKELEZAJI WA RUZUKU YA PEMBEJEO ZA KILIMO KWA NJIA YA VOCHA.
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Serikali yakiri ufisadi utoaji ruzuku za pembejeo za kilimo
WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika, imekiri kuwepo kwa changamoto nyingi katika mfumo wa utoaji ruzuku za pembejeo za kilimo kwa wakulima kwa mfumo wa vocha. Baadhi ya changamoto hizo...
11 years ago
Habarileo21 Mar
Wavuvi kupewa ruzuku kupata zana bora
SERIKALI imetangaza kuanza kutoa ruzuku za pembejeo na zana za uvuvi ili kuwasaidia wavuvi nchini kupata zana bora na zinazokubalika kisheria kwa kutenga Sh bilioni 1.9 katika mwaka huu wa fedha.
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Pembejeo zawatesa wakulima
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Wakulima kukopeshwa pembejeo
SERIKALI imeanzisha utaratibu wa kuvikopesha pembejeo za ruzuku vikundi vya wakulima kupitia vyama vyao vya ushirika kuanzia msimu ujao wa kilimo 2014/2015. Hatua hiyo, imechukuliwa ili kukabiliana na vitendo vya...