Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima Iringa kunufaika ruzuku ya pembejeo

WAKULIMA wa Mkoa wa Iringa wanatarajia kunufaika kupitia Benki ya Wananchi Mufindi (Mucoba Bank PLC), kwa kuanza kupewa mikopo ya pembejeo kwa vikundi vya wakulima kwa riba nafuu na kulipwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wakulima nchini kunufaika na ruzuku ya vocha za pembejeo yenye thamani ya Bilioni 78!

wakulima

Baaadhi ya wakulima wadogowadogo nchini wakiwa katika shughuli za kila siku za Kilimo kwa kutumia jembe la mkono. (Picha na Maktba yetu).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

[DAR ES SALAAM] Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza kuanza kutoa vocha za pembejeo ambazo serikali imezipatia ruzuku.

Akizungumza na waandishi wa habari, jijini hapa, Msemaji wa Wizara hiyo, Richard Kasuga amebainisha kuwa,  Serikali imetumia shilingi bilioni 78, kwa ajili ya kununua...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana: Ruzuku ya pembejeo haijanufaisha wakulima

SERIKALI imeitakiwa kufanya tathimini na kupitia upya mfumo wa ruzuku ya pembejeo katika kilimo, hasa kutokana na kuonesha kushindwa kufanya kazi vizuri katika maeneo mengi nchini.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wakulima sasa kupewa pembejeo kwa ruzuku

Mawakala waliokuwa wakitumia vocha kunywa pombe kitanziniNa Hamis Shimye
SERIKALI imesema inaanzisha utaratibu mpya wa utoaji wa ruzuku ya pembejeo kwa wakulima na kuachana na utaratibu wa vocha, ambao ulikuwa unafanyika kinyume na utaratibu.Imesema hali hiyo inasababishwa na ubadhirifu uliokuwa unafanywa na mawakala wasiokuwa waaminifu, ambao walikuwa wanatumia pesa kunywea pombe na malipo kufanya kwa kutumia vocha za pembejeo.Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Injinia Christopher Chiza,...

 

11 years ago

Habarileo

Ruzuku ya pembejeo kwa vocha yafutwa

SERIKALI imetangaza rasmi kuondoa utaratibu wa ruzuku kwa kutumia vocha za pembejeo. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza alisema hayo jana katika hotuba ya makadirio ya matumizi ya fedha ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa mwaka 2014/2015.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yakiri ufisadi utoaji ruzuku za pembejeo za kilimo

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika, imekiri kuwepo kwa changamoto nyingi katika mfumo wa utoaji ruzuku za pembejeo za kilimo kwa wakulima kwa mfumo wa vocha. Baadhi ya changamoto hizo...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAANZA UTEKELEZAJI WA RUZUKU YA PEMBEJEO ZA KILIMO KWA NJIA YA VOCHA.

 Msemaji wa Wizara ya Kilimo cha Chakula na Ushirika,  Richard Yasini  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya pembejeo za kilimo zenye thamani zaidi ya Sh. Bilioni 78  ambazo zimesambazwa katika mikoa 24  ya  Tanzania Bara ili zitumike kufidia gharama ya mbolea na mbegu bora katika msimu wa 2015/2016.Vocha hizo zitawanufaisha wakulima 999,926 wanaojihusisha na kilimo cha mazao ya mahindi na mpunga. Mkutano huo umefanyika  leo jijini Dar es salaam kulia ni Mkurugenzi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakulima kukopeshwa pembejeo

SERIKALI imeanzisha utaratibu wa kuvikopesha pembejeo za ruzuku vikundi vya wakulima kupitia vyama vyao vya ushirika kuanzia msimu ujao wa kilimo 2014/2015. Hatua hiyo, imechukuliwa ili kukabiliana na vitendo vya...

 

11 years ago

Mwananchi

Pembejeo zawatesa wakulima

Wakulima wengi nchini wameshindwa kufikia malengo kutokana na gharama za pembejeo na kutofautiana taratibu, kanuni na masharti ya aina ya mazao.

 

10 years ago

Mtanzania

Pembejeo zakwamisha wakulima wa korosho

20Na Florence Sanawa, Mtwara
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, imetoa siku 10 kwa mfuko wa wakfu wa kuendeleza zao la korosho kuhakikisha kuwa pembejeo zinawafikia wakulima ili waweze kuwahi kupulizia dawa hizo msimu huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara, Shaibu Akwilombe, alisema usambazaji wa pembejeo hizo umemtia mashaka kutokana na wilaya tatu za Masasi, Mtwara Halmashauri na Tandahimba kukosa pembejeo hizo kwa wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani