Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CAG ahoji wabunge kuendelea na ujumbe wa bodi

 Mapendekezo ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ya kuitaka Serikali kutowateua wabunge kuwa wajumbe wa bodi za mashirika ya umma, hayajatekelezwa kwa miaka mitatu mfululizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Bodi ya Mikopo na CAG kushirikiana

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa bodi hiyo, Cosmas MwaisobwaBODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imepanga kushirikiana na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika kuhakikisha kunakuwapo uwajibikaji wa waajiri katika urejeshaji wa mikopo.

 

10 years ago

Mwananchi

CAG kuongoza Bodi ya Umoja wa Mataifa

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Profesa Mussa Assad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) nafasi atakayoanza kuitumikia kuanzia Januari Mosi, mwakani.

 

10 years ago

Mwananchi

CAG akague Bodi ya Sukari- Waziri Chiza

Serikali imemwagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali kukagua Bodi ya Sukari ili kubaini kama kuna aliyehusika kutoa kibali cha kuagiza sukari kutoka nje kwa mwaka 2013/14.

 

10 years ago

Michuzi

CAG AONGOZA KIKAO CHA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa, Bw.Mussa Juma Assad akizungumza wakati wa hitimisho la mkutano wa siku mbili wa Bodi hiyo uliofanyika hapa Umoja wa Mataifa kuanzia Julai 22-23. Kushoto kwake ni Bw. Fransis Kitauli, Mkurugenzi wa Ukauzi wa Nje na Mwenyekiti wa Kamati ya Operesheni za Ukaguzi ( AOC) Akiwa Mwenyekiti wa AOC Bw. Kitauli ambaye alishika nafasi hiyo tangu mwaka 2012 amefanikisha utoaji wa ripoti za...

 

10 years ago

Michuzi

CAG AHUDHURIA KIKAO CHA BODI YA WAKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Mussa Juma Assad na ambaye kwa wadhifa wake ni Mkaguzi wa Hesabu za Umoja wa Mataifa akiwa na baadhi wa wasaidizi wake katika Kikao cha Bodi ya Wakaguzi wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika jana ( Jumanne) Hapa Umoja wa Mataifa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali mwenye tai nyekundu akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu kutoka Uingereza aliyekuwa akimkaribisha kwenye Bodi...

 

10 years ago

Vijimambo

CAG AHUDHURIA KIKAO CHA BODI YA WAKAGUZI WA UMOJA WA MATAIFA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali mwenye tai nyekundu akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu kutoka Uingereza aliyekuwa akimkaribisha kwenye Bodi hiyo, upande wa kulia ni Ujumbe wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu kutoka India. Uingereza, India na Tanzania ndiyo inayounda Bodi ya Wakaguzi wa Hesabu za Umoja wa Mataifa na Mashirika yake. Katika mkutano huo ilielezwa kuwa Tanzania kwa maana ya CAG itachukua uenyekiti wa Bodi ifikapo ...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wawe wamoja mijadala kuhusu Ripoti ya CAG, Mahakama ya Kadhi

Bunge jana lilianza mkutano wake wa 18 mjini Dodoma likiwa na masuala mengi mazito katika ajenda yanayopaswa kujadiliwa katika muda mfupi tu wa wiki mbili. Hicho ni kikao chake cha kwanza mwaka huu, ambacho kinakuja baada ya mkutano wake wa 16/17 uliofanyika Novemba mwaka jana na kugubikwa na mjadala mkali kuhusu uchotwaji wa fedha kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow. Baadhi ya watendaji serikalini wamefikishwa mahakamani, huku mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa Serikali wakijiuzulu.

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA Ujumbe wa Bodi ya TRA, IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya TRA Benard S.Mchonvu wakati alipoongoza ujumbe wa Bodi hiyo leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Bodi TRA ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi ukiongoza na Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu (wa tatu kushoto). Rais wa Zanzibar na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani