Bodi ya wabunifu majengo yapewa changamoto
NAIBU Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahman Kaniki, ameipa changamoto bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kuhakikisha majengo yanayojengwa nchini yanakuwa bora na salama kwa makazi ya watu na kuepusha majanga ya majengo kuporomoka kama ilivyowahi kutokea.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Wabunifu majengo wapewa somo
WABUNIFU wa majengo na wakadiriaji majenzi na wadau kutoka sekta binafsi wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika semina mbalimbali ili kupata elimu ya kutosha na kunolewa juu ya kukabiliana na mabadiliko...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
IMTU yapewa siku 14 kuhama majengo ya NDC
10 years ago
Habarileo20 Mar
Bilal awapa somo wabunifu wa majengo
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka wabunifu wa majengo wa nchi za Afrika ya Mashariki na Kati kubuni mbinu mbadala katika ujenzi wa majengo zenye kulinda mazingira na kupunguza gharama za umeme na maji.
10 years ago
Habarileo01 Jul
Wabunifu wakumbushwa majengo rafiki wa mazingira
SERIKALI imetoa wito kwa wataalamu wa majengo na wabunifu wa majenzi kuwa wabunifu zaidi kwa kuzingatia matumizi ya vifaa ambavyo vitakuwa rafiki kwa mazingira na matumizi sahihi ya nishati katika majengo.
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Chaneta yapewa changamoto
CHAMA cha Netiboli Tanzania (Chaneta), kimetakiwa kuwa na utaratibu wa kuwapandisha madaraja makocha na waamuzi wa mchezo huo ili waweze kupata nafasi ya kutumika kimataifa. Rai hiyo ilitolewa juzi na...
10 years ago
MichuziMKUTANO WA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI KUFANYIKA JIJINI DAR, SEPTEMBA 18
BODI ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) katika kipindi cha kuanzia mwaka 1998 hadi sasa imezifungia kampuni 86 kufanyakazi ya ukandarasi baada ya kushindwa kufuata sheria za ujenzi.
Hayo yalielezwa na Msajili wa bodi hiyo Jehad Jehad wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa usajili wa wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi utakaofanyika ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Septemba...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bcGMWSj__pE/XmZXpcav1-I/AAAAAAALiTQ/-jVnvWS9SOAYkN521BRiPRvtTdqbp20igCLcBGAsYHQ/s72-c/333d3412-f496-4b06-8938-1bc656258130.jpg)
TMA YAPEWA RUNGU LA KUWACHAJI WALE WANAOTAKA TAKWIMU KWA AJILI YA SHUGHULI ZA USANIFU MAJENGO
SERIKALI imetoa ruhusa kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) kuwatoza fedha wale wote wanaohitaji takwimu za hali ya hewa kwa ajili ya usanifu miradi mbalimbali ili kufanya kazi za kisanifu.
Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho alipokua akifungua mafunzo yenye lengo la kudhibiti na kusaidia ukusanyawashiriki paato kwa menejimenti ya Mamlaka hiyo ya hewa.
Dk.Chamuriho amesema kuwa wanaosanifu muindombinu ya ujenzi...
10 years ago
StarTV05 Dec
Kipato cha wakulima, Serikali yapewa changamoto.
Na Amina Saidi, Mbeya.
Serikali imeombwa kuangalia uwezekano wa kutopandisha kodi mwaka hadi mwaka kwa Kampuni zinazozalisha pombe ili kupunguza uagizaji wa malighafi za bidhaa hiyo kutoka nje ya Nchi na hivyo kuongeza kipato kwa wakulima wa ndani.
Kwa sasa wakulima wa ndani wa mazao yanayotumika kutengenezea bidhaa hiyo kama shayiri na mtama wameshindwa kunufaika na kampuni hizo kutokana na viwanda vya Bia nchini kununua mazao hayo kutoka nje ya nchi.
Licha ya Mtama na Ngano ama Shayiri...
10 years ago
Habarileo16 Jan
Bodi kuhifadhi majengo ya kale
BODI ya Usajili Wabunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi, imeandaa mikakati ya kuona namna ya kuhifadhi majengo ya kale kulinda historia.